Recent content by Waluhwanoyena

  1. W

    Mbunge awachapa makonde na Matama Leo Misri wakisubiri AFCON

    Spika nae si yuko huko vipi alisahau kwenda na rungu lake awathibiti wabunge dhaifu wa binge lake dhaifu? Afadhali hili limetokea mbele take tunasubiri hatua atakayochukua.
  2. W

    Ubalozi wa Marekani watahadharisha kutokea kwa mashambulizi maeneo ya Masaki jijini Dar es Salaam

    Mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa kwenye balozi za marekani Dar na Nairobi vifo na majeruhi wengi walikuwa Watz na Wakenya. Tumia akili hata kidogo tu kama unazo, Watz hapo Dar ni wengi kuliko Wamarekani kwa hiyo more vulnerable kuadhirika.
  3. W

    WATENDAJI WATAKIWA KUJITATHMINI KIUTENDAJI WAENDANE NA KASI ALIYONAYO RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI

    Hiyo kasi inayosemwa kila Mara ni ile kama ya mzee kobe anapotumbukia shimoni kujificha na adui? Ni kinyonga wa kijani tu ndo anaona hiyo kasi. Wengine wanaona ni kasi ya kurudi nyuma kwa adui!
  4. W

    Wanaharakati bhana: Kumbe Tume ya Uchaguzi ya Marekani inateuliwa na Rais na hawatwambii!

    Sio neno huo utakuwa udhaifu mwingine na utarekabishwa jinsi haja inapojitokeza.
  5. W

    Waziri Mpango 'ameteleza', asamehewe

    Hakuteleza bali sehemu ya mkakati wa CCM kushinda uchaguzi kwa sababu zile Tisa zingine hakuna mwanachama wao yeyote anafit masharti hayo na kushinda.
  6. W

    Kwanini mpaka sasa Marekani haijateua balozi wake mpya hapa Tanzania?

    Hata yule wa EU hajarudi wala kuteuliwa mwingne. Wajinga wa CCM wamekuwa wasemaji wakuu wa Serkali.
  7. W

    Bandari ya Chato kukamilika mwezi Agosti mwaka huu

    Wanasubiri bandari, hotel, Airport launch pad ya rocket za kwenda mwezini na traffic lights vyote vikamilike mengine baadaye.
  8. W

    Waziri Lukuvi Awavaa Tra

    Na wewe utajwe maana tunajua janja yako ya kukwepa kulipa kodi ili Serkali ijenge SGR na Stieglers Gorge.
  9. W

    Wazimbabwe wanamdhihaki Rais wa Tanzania?

    Kwa sababu umesoma miaka 3 kwa lugha hiyo ukapata Bachelor's, miwili Masters na miwili PhD ukiacha Secondary na High School. Miaka yote hiyo bado lugha ipige chenga? Kuna walakini lazima!
  10. W

    Mnaoitangaza nchi vibaya mna nchi nyingine ya kwenda?

    Mbaya zaidi wanakaribishwa Ikulu yetu takatifu kusherehekea. Majitu yameharibu watoto wetu wa shule yanapongezwa kwa sherehe KUBWA kwa gharama ya kodi zetu wazazi. Hii ni nchi yetu hatuhami na tutaendelea kukemea maovu yoyote ambayo Awamu hii yamezidi. Wahame wao mapema.
  11. W

    Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer

    Utabiri ulikuwa sahihi sasa tunawauzia mahindi na korosho. Mambo yanaendakuelekea uchumi wa kati.
  12. W

    Rais JPM-Wizara imechelewa kutekeleza agizo la kuzuia mifuko ya plastiki

    Wewe unatafuta nafasi ya Uwaziri anaoshikilia Makamba kwa sababu katazo la plastic ni LA dunia nzima na kwetu lilipitishwa toka enzi za Mkapa. Wabunge wetu hupitisha miswada na kusahau baada ya kulipwa stahili zao.
  13. W

    VIDEO: Yote haya ni Profesa Kabudi. Je, ni kwamba mission za Kabudi huwa ni lazima zifeli ?

    Ni Mbunge wa CCM hawezi tekwa ila kwa nongwa hiyo mwaka 2020 jina lake litakatwa. Polepole kesha onya hana mchezo.
Back
Top Bottom