Hata wanaodaiwa kuuziwa nyumba za serikali kinyume na taratibu nao wajue siku yao yaja

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,991
144,321
Kwa haya yanayoendelea,watu hawa wajue tu kuwa hata wao hawako salama kwani ipo siku kaburi hili litafukuliwa tena linaweza kuja kufufuliwa hata na mtu wa kutoka katika chama chao mbali na wapinzani.

Hiki chama sijui kama kuna alie msafi(asie na tuhuma) na huku kushughulikiana kuna jenga hisia na fikra za subiri na yeye atoke tuje tuibue yake na tushughulikie watu wake kama ambavyo yeye leo hii ametugeuka.

Wakati Bwana huyu wa leo hataki hata kuyaongelea baadhi ya makaburi, ajue tu teyari ameshaweka precedence itayompa mridhi wake nguvu ya kushughulikia yanayomuhusu yeye mwenyewe na hata watu wake wa karibu unless afanikiwe kuweka mtu wa kulinda anayoyafanya/aliyoyafanya siku za nyuma.

Kwa kifupi,maadam anaonekana kwenda kinyume na utamaduni waliojiwekea,sijui kama na wenzake hawatataka kumuonyesha kwamba hata yeye sio msafi kama anavyotaka watu waamini wakati sahihi utakapofika kwani hicho kiti ni kiti cha kupokezana.

Wacha waendelee na ugomvi wao wa mawe ili hali wote wanaishi kwenye nyumba za vioo huku sisi tukibaki watazamaji.
 
Huko nyuma CCM walikuwa wananyukana lakini ikifika kipindi cha uchaguzi wanaungana kwa sababu walijua wote ni wachafu wa kutupwa. Ila mambo yalibadilika pale Lowassa alipoonyesha kuwa tishio kubwa kwa mshirika wake wa zamani, Kikwete. Wakaamua 'kumkata' na kumuweka Magufuli, wakidhani atawapa mwonekano mpya kama chama.
Kinachoonekana sasa ni kuwa Magufuli ameshindwa kuilinda ile inayoitwa "G-code" na wafungwa wa magereza ya Marekani: kwamba hupaswi kumchongea au kumpeleka matatani mfungwa mwenzako (haijalishi ni adui au rafiki yako) dhidi ya maofisa wa jela. Magufuli haelewi G-code, anawasemelea wenzake kwa wananchi. Hii itasababisha na wao kumwaga mboga muda ukifika. Alianza Kikwete lakini, alimwaga ugali wa Lowassa. Tatizo lilianzia hapo.
 
Yaani iko hivi, ukiwa CCM lazima ukubaliane tu na wizi wao
 
Kwa haya yanayoendelea,watu hawa wajue tu kuwa hata wao hawako salama kwani ipo siku kaburi hili litafukuliwa tena linaweza kuja kufufuliwa hata na mtu wa kutoka katika chama chao mbali na wapinzani.

Hiki chama sijui kama kuna alie msafi(asie na tuhuma) na huku kushughulikiana kuna jenga hisia na fikra za subiri na yeye atoke tuje tuibue yake na tushughulikie watu wake kama ambavyo yeye leo hii ametugeuka.

Wakati Bwana huyu wa leo hataki hata kuyaongelea baadhi ya makaburi, ajue tu teyari ameshaweka precedence itayompa mridhi wake nguvu ya kushughulikia yanayomuhusu yeye mwenyewe na hata watu wake wa karibu unless afanikiwe kuweka mtu wa kulinda anayoyafanya/aliyoyafanya siku za nyuma.

Kwa kifupi,maadam anaonekana kwenda kinyume na utamaduni waliojiwekea,sijui kama na wenzake hawatataka kumuonyesha kwamba hata yeye sio msafi kama anavyotaka watu waamini wakati sahihi utakapofika kwani hicho kiti ni kiti cha kupokezana.

Wacha waendelee na ugomvi wao wa mawe ili hali wote wanaishi kwenye nyumba za vioo huku sisi tukibaki watazamaji.
....bila kusahau mv Bagamoyo, 1.5tr, mabilioni yaliyopotea kizembe kukomboa ile bombardier Canada, mabilioni ya claim ya samaki, nk, nk.
 
Kwa haya yanayoendelea,watu hawa wajue tu kuwa hata wao hawako salama kwani ipo siku kaburi hili litafukuliwa tena linaweza kuja kufufuliwa hata na mtu wa kutoka katika chama chao mbali na wapinzani.

Hiki chama sijui kama kuna alie msafi(asie na tuhuma) na huku kushughulikiana kuna jenga hisia na fikra za subiri na yeye atoke tuje tuibue yake na tushughulikie watu wake kama ambavyo yeye leo hii ametugeuka.

Wakati Bwana huyu wa leo hataki hata kuyaongelea baadhi ya makaburi, ajue tu teyari ameshaweka precedence itayompa mridhi wake nguvu ya kushughulikia yanayomuhusu yeye mwenyewe na hata watu wake wa karibu unless afanikiwe kuweka mtu wa kulinda anayoyafanya/aliyoyafanya siku za nyuma.

Kwa kifupi,maadam anaonekana kwenda kinyume na utamaduni waliojiwekea,sijui kama na wenzake hawatataka kumuonyesha kwamba hata yeye sio msafi kama anavyotaka watu waamini wakati sahihi utakapofika kwani hicho kiti ni kiti cha kupokezana.

Wacha waendelee na ugomvi wao wa mawe ili hali wote wanaishi kwenye nyumba za vioo huku sisi tukibaki watazamaji.
Dawa ya moto ni moto
 
Back
Top Bottom