Recent content by Walt white

  1. Walt white

    JamiiForums Tanzania Airtel router kwa Tsh. 100,000

    so ni 100,000 or 170,000?
  2. Walt white

    JamiiForums Tanzania GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

    "Walisema msimamo huu unaashiria uasi....., ni kweli, kwa sababu tunasema tutazuia uchaguzi, tutahamasisha uasi.... hiyo ndiyo namna ya kupata mabadiliko, kwa hiyo tunaenda kukinukisha, sanasana huu uchaguzi tunaenda kuuvuruga kwelikweli, tunaenda kukinukisha vibaya"
  3. Walt white

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jenifer Jovin maarufu 'Niffer' afikishwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu leo Novemba 7,2025

    vitu vingine hata havichekeshi vinaumiza mno, ila ukivisikia unaishia tu kucheka mana maumivu yashakuwa sugu. UGAIDI sijui una maana gani kwao
  4. Walt white

    JamiiForums Tanzania Muhamad aliona wanawake wana upungufu wa akili

    Moderator even this is right to you?
  5. Walt white

    JamiiForums Tanzania Quran inasema Issa bin Maryam ni Mkuu kuliko Mohamad na ndo anastahili kufuatwa

    Moderator nyuzi za kashfa kwa dini zingine kama hizi zinaruhusiwa semeni na sie tuanzishe zetu
  6. Walt white

    JamiiForums Tanzania Wamefungia mitandao?

    Hakika
  7. Walt white

    JamiiForums Tanzania Wamefungia mitandao?

    Asante, hofu yangu ni kwa watanzania wengi wasioijua vpn
  8. Walt white

    JamiiForums Tanzania Wamefungia mitandao?

    Naona mitandao mengine imekuwa mizito hasa Facebook na WhatsApp, na kusearch Google. Au nitafute simu nzuri?
  9. Walt white

    JamiiForums Tanzania Hello guys, who is still up?

    Khaa,saa 5 hii unaona usiku wa manane?
  10. Walt white

    JamiiForums Tanzania Stress zimemzeesha Gwajima ndani ya kipindi kifupi sana

    Picha?
Back
Top Bottom