Recent content by waliyumo Jr110

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    Karibu mwalimu mwenzangu leta Basi huo mchongo tukaindeleze profession
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    Leta contact na information za shule niwatumie
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    Upo sahihi mkuu na nimekuelewa vema kabisa, nitafundisha 2 subject as per employee selection, hata Kama chuo nimesomea 2 lakini hio hainizuii competence yangu kwenye somo lingine
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    Thank you friend, I really appreciated your loyality and patriotism
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    Ameeni pamoja sana kiongozi, Mungu yu pamoja nasi, japo tunaomba atuachilie kwenye vifungo hivi vya maisha at least vijana tukamilishe ndoto kabla uzee haujapiga hodi Mana Hali sio powah kabisa
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    We jamaa una uhakika na unachokiandika au umekurupuka tu,unafikiri nimeandika kwa kuota au Leta desa hapa tulishushe kiongozi
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    pamoja sana
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    Wakiihitaji hakuna shida kiongozi
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    Ndio mkuu hayo ndo masomo yangu interested from o level up to now, so nayajua vyema kabisa
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    Ukiona nimeweka hivo ujue naiweza hiyo Mambo mkuu
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    Ukiwapelekea wankuambia nafasi zimeshajaa
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    Nahitaji msaada Kama naweza kupata nafasi ya kufundisha hayo masomo kwa ORDINARY level na ADVANCED level Katika mkoa wa DAR ES SALAAM. Naomba ushirikiano wenu Wana JF kwa yeyote atakayekuwa anajua shule yenye uhitaji wa mwalimu wa hayo masomo. Mawasiliano +255754410967.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Physics, Chemistry na Biology natafuta kazi

    Naomba anayejua shule inayohitaji mwalimu wa masomo tajwa hapo anisaidie kupata connection basi, naweza fundisha KWA level zote ORDINARY level na ADVANCED level pia. Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wapendwa wanajamii forum nadhani mnaweza kunipatia ushirikiano katika kufanikisha hili...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo wanafanya muziki, kila kifaa kinapigwa live hakuna disortion

    Kuna nyingine age of extinction nayo imo imo
  15. W

    JamiiForums Tanzania Je, hawa "Tanzania One" wamewahi kuifanya jambo gani la kipekee zaidi ya kufaulu vizuri darasani?

    Kwa dhana ya kuwa T.O si kwamba huyu mtu Basi ni innovator or creator, labda tungetofautisha hilo kwanza, kuwa T.O na kuwa creative ni vitu viwili kabisa japo vina uhusiano, Hawa jamaa Wana extraordinary memory capacity ya kushika vitu, ndio Mana lazima wasome kwanza na ndio wafanye yao Kingine...
Back
Top Bottom