Recent content by walitola

  1. walitola

    JamiiForums Tanzania (TETESI)-MACHAME FAILURE MISSION

    Kwa sasa ndoa imekuwa chanzo cha migogoro na vifo vingi sana wanandoa wamekuwa kama marekani na Irani kutafutana usiku na mchana, kiufupi Kanda ya kaskazini ni hatari sana kuoa huko na hao wanawake wa kimachame ni viumbe hatari sana kuwai kutokea hapa duniani.
  2. walitola

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kuweka ‘Gas Detector’ kukagua hewa Vyumba vya kubadilishia nguo Dabi ya Kariakoo

    Si tu wapite kwenye mageti na waache kwenda kwenye lile lijumba la kubadili nguo badala ya kutumia vyumba halali vya kubadili nguo ni hayo tu
  3. walitola

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mkuu na mhasibu wake watupwa jela kwa MAKOSA ya rushwa

    Sasa mwalimu na uyo mhasibu wana ufahamu wowote kuhusu mfumo wa nest wa manunuzi ya Serikali? Mbona hii kesi wangetafuta mwanasheria mbona walikuwa wanashinda
  4. walitola

    JamiiForums Tanzania Jamani wanawake wenye watoto badilikeniI

    Kuwa mvumilivu bado anatafuta mtu wa kukaa na mtoto
  5. walitola

    JamiiForums Tanzania Unajua Umeoa Mke wa mtu, punguza jazba na Relax

    Ndoa ndoano maisha yanaendelea
  6. walitola

    JamiiForums Tanzania Utaenda na nani kati ya Hawa?

    Chukua mwenye mchonyo mkubwa uyo
  7. walitola

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Watafuta ajira kwani ukivaa suruali Yako ya kitambaa na shati lako na kiatu chako cheusi unapungukiwa na nini tuvae smati mfano unaona sasa jamaa wamekosa kufanya usaili kwa sababu za kipuuzi kabisa
  8. walitola

    JamiiForums Tanzania HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

    Mkuu acha kupotosha watu taratibu zinajukikana kabisa na hata ukienda kwenye hayo mataasisi ya kimataifa wapo very smart mkuu ususani kwenye mavasi sembuse kwenye ofisi zetu hizi za kibongo, niwashauri tu vijana tuvae smati tukienda kwenye sahili zetu
  9. walitola

    JamiiForums Tanzania Mimi na mzee wangu hatuko sawa, na sioni dalili ya kuja kuwa sawa tena

    Mkuu nafikiri ulichoandika kama ulikuwa unaweza nilivyokuwa nawaza mimi kiukweli na mimi sijaelewa hapo labda aje atuweke wazi
  10. walitola

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Mzee baba kwanza kitendo cha mkeo kwenda kushtaki kwao hapo tu kashaaribu bado hana ukomavu kwenye ndoa ilipaswa mashtaka yapelekwe kwenu ila kwakweli ndoa hizi shida tupu, wewe fanya maamuzi mwenyewe ukiona kuishi nae sawa au umuache shega tu mana zakuambiwa changanya na zako
  11. walitola

    JamiiForums Tanzania Chuando tan ana miaka 60 lakini ana muonekano wa kijana kabisa

    Suala si pesa jamani, watu wenye asili ya Asia huko wanazingatia sana Chakula ndio mana miili yao bado inaonekana bado wadogo
  12. walitola

    JamiiForums Tanzania Uliwahi muona marehemu anayezikwa kwa mkono hadala ya chepe na jembe kwa madai ametolewa kafara? Soma hii imetokea Songea.

    Ruvuma ni homeboy kabisa baba na mama wote wa huko lkn sitaki kwenda huko kabisa na familia yangu yote sitaki ikanyage huko kabisa shida huko uchawi ni kama Chakula yani hakifai kabisa wanapenda sana ushirikina
Back
Top Bottom