Recent content by WALENISI

  1. W

    JamiiForums Tanzania KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

    Said Mohamed, mwandishi wa tamthilia iitwayo Kivuli Kinaishi, akimtumia mhusika mmojawapo katika tamthilia hiyo anasema, "hatesi mtesa akafululiza."
  2. W

    JamiiForums Tanzania KWA WANAOTAKA KU-RESIT NECTA 2013 NA WENYE KUJIUNGA NA A LEVEL, soma hapa!

    Miradi Bubu ya Wazalendo!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Sitta

    Huo ni mwendelezo wa upuuzi katika wilaya ya Urambo. Wakazi wa wilaya hiyo wana tatizo kubwa la maji na miundo mbinu ya ovyo halafu madiwani wanakimbilia kununua GX-V8.
  4. W

    JamiiForums Tanzania TCRA, Tunaomba ufafanuzi

    Ni aibu kwa TCRA. Nchi hii bora liende! Local channels hazipatikani kwenye ving'amuzi, na hata zikipatikana baadhi zinakuwa hazina sauti. Shame on you!
Back
Top Bottom