Recent content by wakujua

  1. W

    JamiiForums Tanzania Maeneo mazuri ya kupeleka watoto skukuu hii

    Habari zenu wana jf, msaada mimi sio mwenyeji sana wa jiji naomba kujua ni maeneo gani mazuri ya kupeleka watoto wakaenjoykwa kipindi hiki cha skukuu, sehemu za gharama nafuu
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanandoa: Njia rahisi ya kumteka mume wako

    Mh kazi kwelikweli, kwaiyo niache kufanya vitu vya mana eti nifikirie ni jinsi gani niliteke lijitu lizima, mbona yeye afikirii ni jinsi gani aniteke au wanawake ndo tunadhiki ya kuteka mijitu mizima
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ninataka kufanya biashara ya kuuza sim

    Habari zenu wana jf, mimi naishi dar nataka kufanya biashara ya kuuza simu kariakoo naomba mwenye uzoefu anijuze faida na hasara ya biashara hii na nnaweza anza na mtaji wa shingapi!
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa zimekuwa 'kaa la moto', wanaume hawashikiki tena

    Wanaume amridhiki tu unaweza ukafanya vyote kama mke lakini lijianaume bado litatoka nje ya ndoa
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anapokutushia maisha

    Ni mwanamke anayejiamini mana nyie wanaume bila kutishiwa ni shida
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nanunua simu used

    Mi ninayo note one original aina tatizo lolote bei 300000
  7. W

    JamiiForums Tanzania Jipatie kuku wa kienyeji

    Kuku wa kienyeji wanapatikana kwa bei ya 18000 napatikana kwa 0675568789
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyeji wanapatikana

    Jipatie kuku wa kienyeji kwa bei poa bei ya mitetea ni 18000 na bei ya majogoo ni 20000, napatikana kwa 0652651853
Back
Top Bottom