Maeneo mazuri ya kupeleka watoto skukuu hii

wakujua

Member
Nov 27, 2015
8
0
Habari zenu wana jf, msaada mimi sio mwenyeji sana wa jiji naomba kujua ni maeneo gani mazuri ya kupeleka watoto wakaenjoykwa kipindi hiki cha skukuu, sehemu za gharama nafuu
 
Tulia nyumbani mkuu sikukuu kutoka out haifahi, sibir siku za kawaida uwapeleke
 
Majibu yanakatisha tamaa sikukuu watoto wanaenjoy sana kutoka mana wakutana na wenzao wengi wanacheza na kufurahi pamoja seheme ziko nyingi pesa yako tu beach na mahotel yote ya ufukweni ni sehemu nzuri ila jipange sio utoke mbgl uje mbz beach
 
Back
Top Bottom