Kijana kuomba tena mkopo chuoni kapata so kaz ndogo nakumbuka nikiwa nasoma tulikua watu 2000 tuliomba chuoni walio pata walikua 3
so jins ya kufanya iliupate mkopo hakikisha unakua name cheki ya kifo cha wazazi ' barua ya kuachishwa Kaz ya mzazi' chet cha ulemavu'barua ya wadhamn waliokua...
nakubaliana na wewe kiongozi ukiangalia historia ya chimbuko la vyama vingi vya siasa ulaya utaona limetokana na kutoelewana ndani ya bunge ndipo vyama vikaundwa tafsili fupi hapa ni uibukaji wa vyama vyetu hapa haikua hvyo kwa hyo maslahi ndio kigezo kikubwa cha kuundwa vyama vyetu baada ya...
mhhhhhhhh sasa imekua kero kila mtu anataka aelekezwe maana ya hayo maneno mbona rahis sana hayo "bado ipo kwenye taratibu za kupelekwa collage husila"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.