TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
Watanzania tunakwenda katika uchaguzi mkuu mwaka tukiwa na two choices mbele yetu,aidha tumchague Dr Magufuli turudi kwenye enzi za ujamaa au tumchague Lowassa tuendelee na safari ya maisha ya kibepari tuliyokwishayaanza.
Hizi ndo tofauti kati ya ujamaa (socialism) na ubepari (capitalism).
1) Ujamaa
*demokrasia hufinywa
*sekta binafsi ina uhuru mdogo sana
*serikali huwaamulia wananchi nini cha kuchagua,namna ya kufikiri,nk
*kodi ni nyingi
*serikali ni ya kidekteta
*hudumaza maendeleo ya sayansi na teknolojia
2)Ubepari
*demokrasia ni pana sana
*sekta binafsi inapewa uhuru mkubwa
*wananchi wana uhuru mkubwa wa kujiamulia mambo yao au kufanya mambo kwa uhuru mkubwa
*serikali haina udikteta
*kodi huwa ni nafuu sana
*huchochea maendeleo ya sayansi na teknolojia kwa kiwango kikubwa.
Hivyo tunapokwenda kwenye uchaguzi kwa minajili ya kuchagua utawala mpya ni lazima tuzingatie hayo mambo hapo juu.Najua yapo mengi natarajia na wengine watayaongezea.