Recent content by wakubaha

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kumbe kupiga picha ukiwa stend ya mwendokasi hairuhusiwi?

    Kama mwezi mmoja umepita nilikuwa kituo cha Gerezani Kariakoo kuna watu nilikuwa nawasubiri nikaona wanaitwa na mlinzi wa China Security ( ndio walinzi Wa vituo vya mwendokasi ), wakaambiwa watoe sh 50,000 kwa kupigana picha, mimi nikawaambia haiwezekani kupigana picha iwe kosa sasa wakati...
  2. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    RIP Mzee Samwel John Sitta...Tutakukumbuka mzee wa Speed na Viwango
  3. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge John Mnyika, afiwa na Baba yake Mzazi, Mazishi kufanyika Alhamis

    Pole sana kaka John,Mungu awatangulie katika wakati huu mgumu...Mzee apumzike kwa amani
  4. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanahabari mkongwe, Bi Sarah Dumba afariki dunia ghafla akiwa Njombe

    R.I.P mama Dumba ... nakumbuka kipindi cha mama na mwana tulikuwa tunaitolea macho radio utadhani ni tv.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Alphonce Mawazo wageuzwa kuwa suala la kisiasa

    kipaumbele cha kwanza ELIMU,cha pili ELIMU,cha tatu ELIMU ... MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA mlitaka azikwe vipi? Unaposema hili suala wanaligeuza KISIASA mahjui huyu ni mwanachama na mwenyekiti wa mkoa? Tunaona wanafariki viongozi wa dini wanazikwa na wafuasi wao, wanafariki wanamichezo...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kubenea, usijisumbue kutuma SMS, Ubungo hatukutaki

    Hahaha huwa naona bora mtu ukae kimya kuliko kujifanya mjuaji saaaaaana...mwisho wa siku ni aibu
  7. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Duh inasikitisha sana RIP Deo, mtu aliyependwa na watu wote bila kuangalia tofauti ya vyama na ni kwa sababu alikuwa anasimamia ukweli.
  8. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani Mch. Mtikila
  9. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    RIP mama Kombani
  10. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    Kifo cha Mohamed Mtoi kimenihudhunisha sana , tunapoteza vijana wanamageuzi wenye kutaka kuleta mabadiliko ya kweli. Mwenyezi Mungu ampumzishe kwa amani.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa akichaguliwa, atarudi CCM Oktoba!

    kabla hamjaandika haya yoooote jaribu kupitia KATIBA uone inasemaje? Tusiwe wavivu wa kusoma na tunaandika tu maneno ya mtaani na KATIBA ya Malawi ni tofauti na yetu
  12. W

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Asante sana kwa mafunzo yako...ubarikiwe
  13. W

    JamiiForums Tanzania Makongoro aanza MAFUNZO ya kukabidhiwa nchi; Mbio za Lowassa ndani ya CCM zazimwa rasmi

    "Leo Makongoro kuwa sehemu ya wageni maalumu katika uzinduzi wa Meli za Kivita" Meli moja inaitwa Msoga alipozilia Raisi wa sasa na Meli nyingine inaiitwa Mwitongo kwa heshima ya mahali alipozaliwa Baba wa Taifa, sasa mtoto wake ataachaje kuwa mahali hapo?
Back
Top Bottom