Recent content by wakolosai

  1. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Bunge kwanini muwabane JWTZ kwenye ajira huku TISS wakiwa hawafuati kanuni na sheria za ajira

    Kigogo gani anahtaj mtoto wake awe mwanajeshi? For what? Ukipata pesa utagundua ni kazi ya kipuuzi
  2. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Zijue gharama za kodi kabla hujaagiza gari

    Kwamba unamuamuru akupe majibu ya kisomi yaliyojitosheleza au sio
  3. wakolosai

    JamiiForums Tanzania KERO Uzembe wa Idara ya Uhamiaji Tanzania katika Huduma kwa Wateja

    Ndugu wanajamii, Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo mtu anaweza kuipigia kwa msaada pale ambapo kuna shida yoyote. Ni aibu kuona idara kubwa kama hii...
  4. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kupata Dada wa kazi za ndani unapaswa kuwa vipi ili watoto wawe salama?

    Umewah kua na msaidiz wa nyumban? Kama ndio utaelewa unaweza mpa kila kitu kama mwanafamilia na bado akafanya mambo ya ovyo sana
  5. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda, kuagiza gari na befoward

    Hello unaweza kunipa number yako PM nahtaj kuagiza gari na befoward kuna mambo ningependa kujua
  6. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Changamoto usafiri wa SGR

    1. Upande wa ticket SGR wameshindwa, unakata online ukifika station unapanga bonge la foleni kuprint ticket. 2. Wanayoyaita mabehewa ya VIP wala sio VIP, tofauti yake na 'economy class' ni mpangilio wa siti tu 2x2 vs 3x2. 3. 'Mashine za kuscan ticket' upite hazifanyi kazi.
  7. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Mwarabu wa Dubai, Emirates National Group (ENG) wapewa kazi ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

    Wakuwekee wapi bibie si utafute mwanyewe
  8. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Makonda usikubali kuachia hilo ghorofa na imani kubwa kuna nguvu kubwa inakulinda

    Wivu, Roho mbaya na nyege = masikini
  9. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Je, kuna tofauti ya research proposal na research report?

    Google acha uvivu
  10. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Issue ya rushwa ya ngono Vyuoni imeshika kasi sana. Hapa nimepewa Story ya Chuo cha Mipango (Dodoma). Unaambiwa huko ndio balaa

    Wait what? Mwanachuo ni mtoto mdogo hadi achaguliwe mpenzi? Huo utaratibu wa ku sign form kwenye icho chuo upo? Au kelele nyingi ulaya ulaya si uende ulaya
  11. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Issue ya rushwa ya ngono Vyuoni imeshika kasi sana. Hapa nimepewa Story ya Chuo cha Mipango (Dodoma). Unaambiwa huko ndio balaa

    Wanafunzi wa chuo ni mtu mzima, Tutajuaje kama sio wapenzi? Au wamekubaliana kwa sababu walizoona wenyewe zinafaa? What if Lecture amekua blackmailed?
  12. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Kama kunajengwa Madarasa Mapya, Vipi kuhusu Ajira mpya za Walimu?

    Walim si mpange mbona watumishi wengine tumepanga
  13. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Nitafurahi endapo tozo ya mwezi Septemba itaenda kujenga flyover mataa ya Morocco

    Nipo kakonko mkoa wa kigoma vijijini huku nimepota maeneo ya malenga,bukiriro, katanga,mgunzu hadi mabamba kulipo na boarder ya burundi barabara ni mbovu sana, napendekeza hzo pesa zingekarabati barabara ya vijijini hali ni mbaya sana
  14. wakolosai

    JamiiForums Tanzania Karibu tushauriane juu ya nini cha kufanya na matokeo yako ya Kidato cha Sita 2020

    Principle ni D mbili, hujakidhi vigezo mkuu
Back
Top Bottom