Ndugu tambua kuwa sheria hazitungwi kwa kuangalia shida ya mtu mmoja mmoja kama hiyo yako, pia kama umesoma vizuri hii sheria haijatungwa siku hizi za karibuni!!!
Tambua kwamba hizi sheria zishatungwa muda mrefu hivyo sasa hivi ni utekelezwaji pamoja na usimamizi.
Habari wana jamii wenzangu...
Nipo hapa kukumbushana katika suala la malezi na makuzi ya watoto wetu. Ujumbe huu ni kwetu sote kwa sababu naamini ipo siku kila mmoja atasimama kuwa mzazi.
Jamii ya sasa kutokana na utandawazi unao endelea imetokea watoto kukosa mapenzi ya dhati na...
Ni wazo zuri inahitaji gari ya kutembelea but ni vema ukawa na specifications za aina gani ya gari unahitaji...
Hiyo itakusaidia kupata kwa uharaka...
Unaweza nicheck kama upo serious nina gari used
Kitu ninachopenda zaidi Sharma sometimes ana recall toka kwa waandishi wengine hivyo akichanganya na mambo anayoyaona katika jamii, basi hufanya uandishi wake kuwa bora zaidi.
Ndugu huwezi ambilika sababu ushajiweka kiziwi n kipofu juu ya uyo Samia but huo ndio ukweli na njia anazotumia zishatumika sana huko ktk mataifa mengine hivyo hana jipya zaidi ya ushamba tu...
Mie kwa sehemu nilizo pita hapa Tz sijaona sehemu yoyote wanayo unga mkono haya uyasemayo. Kiufupi huu utawala ni moja ya utawala mbovu ambao unapingana n maendeleo yaliyo achwa na uongozi wa magufuli.
Huyu mama kaweza ku invest kulipa watu kuweza kumsifia mitandaoni tu 😂
Hii ni ajenda mbovu sana
Amani iwe nanyi wana jamvi 🙏🏾 Nipo hapa kuweza kushirikishana katika namna bora ya "kubariki fedha zetu" Kuna waandishi wengi sana Duniani ila kuna huyu Nguri mwandishi Robin Sharma ambae kaandika zaidi ya vitabu 10 maarufu na kimoja wapo ni "NANI ATALIA,SIKU UKIFA?"
Katika kipengele namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.