Recent content by wakimataifa.

  1. W

    JamiiForums Tanzania NEMC nawapongeza kwa kuzuia kelele mitaani

    Taasisi ya taifa ya mazingila, nawapongeza kwa kuzuia kelele mitaani Ulikuwa ni ujinga mtupu uliokuwa unapiga kelele kwenye mabaa mitaani. Ila nawalaumu NEMC kuufanya uzembe wa muda mrefu wakati Sheria zipo muendelee bila kuchoka asiye sikia futa lessen Nyumba za ibada usiku tabu nazo naona...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu kwa Feisal, katika barua yake kwa TFF amejimaliza mwenyewe.

    Sasa hivi wakala wa feitoto Jasmin anazunguka kwenye vyombo vya habari kutafuta huruma
  3. W

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

    Tunaulizia Kodi inalipwa halali?
  4. W

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

    Kuna kampuni moja ya magari mabasi itwayo Ester tunaiomba serikali iichunguze kuhusu Kodi na utajiri wa ghafla leo inasemekana kashusha mabasi zaidi ya Mia mbili kutoka China je, Kodi ya bandarini imelipwa halali?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe acha kuchezea Kodi zetu kwa maono mfu! Kilimo siyo filamu

    Alaumiwe alioua soko la korosho sio bashe
  6. W

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya mgahawa

    Nashukuru kunirekebisha masufulia
  7. W

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya mgahawa

    Naomba kwa yeyote anapopajua sehemu au duka linalouza vifaa vya mgahawa mfano majiko ya gess mafufulia ,bufee ,mashine ya gass ya kuchoma kuku nyama na nk
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wanasimba msile pilau siku ya uchaguzi

    Chonde chonde wanasimba siku ya uchaguzi mtaletewa pilao na ukoo wa mo Nawaomba msile hicho chakula ogopa chakula cha aina hiyo kutoka kwa dini ya Shia mtapitisha ajenda bila kujielewa
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kwako Eng. Hersi Said taarifa hii ikufikie kuhusu chawa wako

    Chawa wake mwingine mzee mpili
  10. W

    JamiiForums Tanzania Yanga siyo Simba

    Mjinga uchawi gani ushauri uchawi mwehu
  11. W

    JamiiForums Tanzania Yanga siyo Simba

    Timu ya yanga kimataifa siyo kama Simba. Yanga kwenye uongozi wa leo wanaushamba fulani au ulimbukeni na wakiwa na akili hizo tutegemee anguko kwenye klabu. Viongozi wa Yanga kimataifa hawawezi kabisa ila wanakiwango kizuri cha wachezaji lakini uongozi hovyo. Nawatahadharisha wasikilize wazee...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Namtangaza rasmi Luhaga Mpina kuwa mrithi wa Magufuli

    Jana baada ya mwigulu kulifafanua Hilo Jambo Nilitegemea waziri mkuu angesimama kulijazia nyama Jambo hilo
  13. W

    JamiiForums Tanzania January Makamba ni Obama ajaye?

    Amekuagiza umfanyie kampeni Kwa taarifa yako hapewi Wala asijidanganye kuomba
  14. W

    JamiiForums Tanzania Hivi anachofanya Kinana huko mikoani siyo mikutano ya hadhara?

    Hapana anakagua uhai wa wanachama wake na kuongea nao wanachama usihofu
  15. W

    JamiiForums Tanzania Walidai taifa stars haitapata matokeo mazuri

    Nasikia posho kwa wachezaji hakuna chakula hakiridhishi
Back
Top Bottom