wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 559
Kuna Kama mwezi na kitu zilizopita Kuna watu walisema wanataka taifa stars isiwe na maendeleo wanadai mpaka Rais wa tff ajiudhuru sababu walisema wanaonewa Sana na anajifanya kiburi Sana
Ni kweli lakini Mimi nilikuwa nadharau maneno hayo nilikuwa nasikilizia Sasa naona daliliUngeandika kabla ya weekend iliyopita tungekuelewa