Recent content by wakibisi

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza ukadhani una changamoto lakini kuna wenzio zimezidi

    Mkuu hii story inasikitisha
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa App nzuri ya muziki

    Asante
  3. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa App nzuri ya muziki

    Wadau msaada nitajieni app nzuri ya music ambayo ukiidownload inaplay music ya audio vizuri na hata video music sometimes inaichange kusikika kwny audio automatically nilikuwanayo niliifuta kimakosa jina nilikuwa silijui
  4. W

    JamiiForums Tanzania Milunda inafaa kuezekea?

    Asante mkuu
  5. W

    JamiiForums Tanzania Milunda inafaa kuezekea?

    KWA hiyo inafaa mkuu?
  6. W

    JamiiForums Tanzania Milunda inafaa kuezekea?

    Au siyo
  7. W

    JamiiForums Tanzania Milunda inafaa kuezekea?

    Shukrani sana mkuu nami nipo around maeneo ya Bagamoyo
  8. W

    JamiiForums Tanzania Milunda inafaa kuezekea?

    Nina uharaka mkuu nimechoka kulipa pesa ya pango
  9. W

    JamiiForums Tanzania Milunda inafaa kuezekea?

    Minazi hapana jembe si mizuri
  10. W

    JamiiForums Tanzania Milunda inafaa kuezekea?

    Nimeziona kiongozi
  11. W

    JamiiForums Tanzania Milunda inafaa kuezekea?

    Asante
  12. W

    JamiiForums Tanzania Milunda inafaa kuezekea?

    Habari, Naomba kuuwauliza ndugu zangu, ninategemea kuezeka kakibanda kangu sina pesa ya kutosha kuweza kununua mbao treated hivyo nataka niezekee milunda, naombeni ushauri inafaa kwa ustahimilivu kama wa mbao treated?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Hili ni tatizo kwa vijana wengi wa Kitanzania, nimesikitishwa sana. Serikali iangalie jambo hili

    Usemayo ni kweli mzeiya kwa mara ya kwanza naisoma post yake ya issue ya feri alivyokwenda kununua samaki yaani nilijua mimi c ki2 yaani jembe huyu ananipa nguvu za kuhaso sana
Back
Top Bottom