Recent content by Wakaz

  1. Wakaz

    JamiiForums Tanzania H-PYLORI, huyu mdudu ananitesa mno sina raha na maisha

    Dozi ilikua ni ya muda Gani?
  2. Wakaz

    JamiiForums Tanzania Said Mikidadi anaomba msaada wa kupata Sh Milioni 40 akatibiwe nchini India baada ya kushindikana Nchini

    Mungu Amsimamie Arudi kwenye hali yake ya kawaida
  3. Wakaz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wachezaji ambao ukiwataja lazma utamke majina yao mawili

    Hili ni jina Moja
  4. Wakaz

    JamiiForums Tanzania Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

    Hivi kwa miaka ya sasaivi Kuna mfanya kazi kweli Wa serikalini mpaka Ana staafu Anakua hajajiwekeza
  5. Wakaz

    JamiiForums Tanzania Marafiki hawadumu wanakuja na kuondoka, tuliowahi kuwa mabesti nao leo tunaishia kuchunguliana status hata "hi" hakuna

    Mimi Kuna marafiki tulikua pamoja na tulishirikiana Sana katika kupeana updates Za nafasi za kazi Na tulitembea Sana kwenye mikoa tofauti ili mradi tupate check namba Balaa lilianza baada ya wachache wao kupata ajira mawasiliano yalipungua na mwisho wa siku ukituma message unaulizwa Nani...
  6. Wakaz

    JamiiForums Tanzania Ulitumia jitihada, njia au mbinu zipi kupata ajira au kujiajiri?

    Mimi baada ya kumaliza chuo 2019 kwa ngazi ya diploma Nikawa Sina mishe yoyote mtaani ndipo jamaa akanambia twende tukauze mifuko sokoni temeke sterio Nashukur Mungu nikawa napata pesa ya kula, kuvaa Na malazi na hata pesa ya kwenda kufanya usaili pia Ila changamoto hazikosekani maana watu...
  7. Wakaz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwili wa Ulomi, Mfanyabiashara aliyedaiwa kupotea wakutwa mochwari Mwananyamala

    Kwa kesi kama iyo hao waliopeleka maiti uwa hawajulikani eti
  8. Wakaz

    JamiiForums Tanzania Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

    Single Maza unguja Na Pemba ndio wapo sikatai Lakini hao wanakuwa wameshapewa talaka Na hapa Mada inasema kuzaa ovyo tu pasipo kuwa Na ndoa
  9. Wakaz

    JamiiForums Tanzania Kasi ya kuzaa kwa Wasichana wadogo Mkoa wa Lindi inahitaji Ufumbuzi kwani taifa linaangamia

    Lakini Pemba wengi wao wanakuwa wapo kwenye ndoa tayari Yaani wanaingia kwenye ndoa katika umri mdogo Tofauti Na hizo sehemu nyingine Ambapo wanazaa ovyo tu
  10. Wakaz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kauli ya Sean Paul imewashtua wengi baada yakusema hamjui Diamond wala Alikiba alipotua Tanzania, ila anatamani kufanya nao kazi

    Mwandishi akataja mpaka comassava lakini wapi
  11. Wakaz

    JamiiForums Tanzania Kuiba Misalaba, Mashada ya Maua Makaburini ni Laana

    Kwaiyo Na wewe kwa Akili zako ndogo unaamimi hela wanazopata zinaendesha maisha Yao
  12. Wakaz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi walio active kwenye mitandao ya kijamii sio wa kufanya nao maisha. Hiyo ni red flag tosha kaa kitaalamu kidume usipuuzie hilo

    Sema mimi uwa siwaelewi wale watu wanaopiga picha chumbani mwao wanapolala Au wakiwa wanakula vyakula vizuri wanapiga picha alafu wanapost mitandaoni
  13. Wakaz

    JamiiForums Tanzania Halotel mjitafakari mmebakia nyie

    Kwani Aghalabu ina maana gani
  14. Wakaz

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

    Tatizo hawajaweka kiwango cha mshahara ningeomba chap
Back
Top Bottom