Recent content by wakali ndondo

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mwachie Emanuel Nchimbi punguzeni kuendesha nchi kihuni

    Umeambiwa nq nan kashikiliwa mtu kaamua kustaafu mwachen apumzike nyumban ajitikezee mitaan kutafut nn acheni kuleta taharuki kwa unavyomjua nchimbi ni mtu wa kumuweka house arrest kama kikao chao tu aliwagomea
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kingu: Mungu Alinifunulia Uteuzi wa Ndejembi na Nilimpigia Simu.Kama nasema Uongo Abishe

    Kingu mnafiki sana anahangaika sana kujipendekeza ila ndo ivo uwaziri anaouota kila siku hawezi kuja kupata
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya ni jiji? My Detailed Explanation

    Ccm wanaihujumu sana mbeya sijui mliwakosea nin jiji kama kijiji miundo mbinu mibovu
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kama siyo huruma ya Rais Samia, Lissu atakaa sana mahabusu

    Kwa akili yako unadhani mahakama inahitaji kuendeshwa kwa hisani za rais
  5. W

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito

    Ndo maana nimemwambia anaonekana n kiongozi mzuri afu anajua kufatilia DMO wake ampe uMOI aongoze kituo
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ufanyike uchunguzi wa kina na wa sirisiri kwa viongozi wanaokufa ghafla

    Acha kuzua taharuki mkuu watu hawafi ghafla magobjwa ni siri za watu labda unataka uwe unatangaziwa kila wakienda kutibiwa ili usione ni ghafla
  7. W

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Waziri wa Afya na TAMISEMI, chunguzeni utendaji kazi wa Kituo cha Afya Kigamboni, Watumishi tunapitia mazito

    Mkuu me nashauri DMO akupe uongozi wa icho kituo unaonekana n kiongozi mzuri na mfatiliaji wa mambo kituo kitapaa sana kimapato 😅
  8. W

    JamiiForums Tanzania Hata kama Mbowe alikuwa ana mapungufu yake, lakini alikuwa anakiokoa sana hiki chama! Master of politics

    Mchukueni aiokoe ccm mikonon mwa samuya
  9. W

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mfadhili wa Kiarabu awang'ang'ania watoto wa kike wa Kimasai kwa miaka kumi na hataki kuwarudisha makwao

    Miaka mitatu anatafutiwa ufadhili gani??kuna uhuni ulifanyika ao wazaz waliuza ao watoto now wameingia tamaa wanawataka tena
  10. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania puuzeni babari zinazotolewa na CNN, kwa sababu ni chombo ambacho hakiaminiki na kimeshutumiwa sana na Donald Trump

    Kumbe ni babari izo tutazipuuza tu ila habari za cnn tutaendelea kufatilia afu sidhani kama kuna mtanzania anahitaji cnn imwambie yaliyotokea
  11. W

    JamiiForums Tanzania Weekend nyingine mbaya kwa Man City na Liverpool. Huu mwaka wa Arsenal. Period!

    December bado haijaanza mkuu relax
  12. W

    JamiiForums Tanzania Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

    Jamaa walishapewa code kuwa JWTZ wanebeba mapambo ndi maana polisi walikuwa wanawadharau sana
  13. W

    JamiiForums Tanzania Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

    Wao kama jeshi hawakulijua hilo achen kutetea ujinga if mtu anaingiza silaha ndan ya mipaka yenu na mnajua plan zake still na anakuja anafanikiwa then hamjitambui kubalin tu mmetia aibu sana
  14. W

    JamiiForums Tanzania Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

    Mauaji yamefanyika siku tatu mfulizo tena yalikuwa well coordinated kubalini tu JWTZ mmekuwa exposed hamna lolote na mmewekwa lockdown mwezi mzima kama kuku wa kisasa
  15. W

    JamiiForums Tanzania Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Tatizo kubwa la samia na iki kikundi chake cha polisi wa doria mtandaoni jamaa wanateka na kupoteza watu kisa comments za mitandaoni nadhani wanahitaji shule zaid nn huwez ukawa unakamata kamata watu kisa comments tu
Back
Top Bottom