Najaribu kuwaza sipati jibu. Je atapita mgombea gani?
Je, Uhuru na Demokrasia itakuwepo au ndo tutarudi 2015/2020?
Je, waliompinga rais mpya watatekwa, watauwawa, watashtakiwa?
Je, rais mpya atalipa visasi kwa wabaya wake na watu waliokuwa wanampinga?
Hata sipati jibu Tanzania itakayoanzia...