Chemchem tukisema hakuna mkate mgumu mbele ya billioni 5 muwe mnatuelewa.
1. Lemi tulimpiga na 1bn akadengua. Tukamuongeza nyingine akavuta usawa. Anakula mema ya nchi kwenye 5star hotels. Muulizeni Mange.
2. Mkurya tukamrushia 1bn yeye kanunulia magari ya bei mbaya. Jinga kweli hili
3. Ex MP...
Kitenge tulisoma naye MSc mass communication Oxford University 1998 hadi 2000.
Baadae alienda MIT, USA, Kwa ajili ya MBA, na alipomaliza aliajiriwa ITV
Mpira na SWAT sijui SWOT wapi na wapi.
Ukweli lazima usemwa, na usindikizwe na ushahidi. Kwa yanga kumfunga vigoli viwili timu kimeo kama Gaberone united- tena kagoli ka bahati -inadhihirisha yanga ni wachovu pro maxxxx
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.