Recent content by Waiti

  1. W

    T

    Na we mka' ndo nini?
  2. W

    Uanzishwaji wa shirikisho/federation ya wasio na ajira

    Nini madhumuni ya shirikisho?
  3. W

    Nelson mandela african institute of science and technology

    Kuna umuhimu wa kuendelea kutawaliwa.ili watufunze cz inaonekana hatujakomaa kiasi cha kujiweza.mf,hatuna engineers wa kujenga lami?kama wapo wanafanya nini? Au ndo kusubiri waajiriwe ofcn.waite injinia wa jiji",manispaa.n.k.wachina wanaishi maporini kwny camp wanapiga kazi.sisi tupande V8,na...
  4. W

    Nimeshtuka sana baada ya kusikia hii

    Na Baadhi ya wavulana sasaaa! Wamekakaa mabinti,wamejilegezalegeza,visuruali wanavyovaa,vyembamba kama chupa ya soda.wanavyotembeaa sasaa!ETI Tz uti wa mgongo ni kilimo"nani wa kuwaza kilimo kizazi hiki cha wasomi wa ivi.poleni wenye maofisi yenu. Subirini wasomi wakuajiri
  5. W

    Nimeshtuka sana baada ya kusikia hii

    Vyuo vikuu almost vyote tz ,mambo ya ufuska kwa sasa imekuwa kama sehemu ya sylubus.fanyeni mabinti wng wakihitimu wanalivyo na hamu kubwa kwnda chuo,si kwa ajili ya kupata maarifa,wanaishia kununua nguo{takataka}hata wenye malezi mazuri wakifika chuo basi ndo ivo tena."AMA KWELI KANGA HATAGI...
  6. W

    Swala la Watanzania kuto kuunganisha Mitaji yao ni sawa na Kujichimbia Kaburi la Biashara

    Ttz kubwa watz ni kama vile wtt wa mama na baba 1.tumeumbwa na maneno mengi sn lkn waoga mno wa kuthubutu.hapa tunaoneshana uwezo wa kufikiri tulionao tu.ndio maana hakuna mpk sasa ktk hoja hi aliyetoa angalau mwanga/njia.me nashauri watu wenye nia ya dhati na wachapa kazi.tupange watu wengi wa...
  7. W

    Helo,

    Me,me mgeni humu jf.nabisha hodi,nami nataka kuleta maarifa yng.
Back
Top Bottom