Mnakera bwana na habari zenu za uongo kila siku aaaagh. Wamechukua mfuko wenye ml 6 tu hawajachukua madini. Na wala sio majambazi wa 2 ni wa 5 na walikua na pikipiki 3. Wamemuua mtu m moja na kujeruhi mmoja
Kweli tunapenda habari ila sasa hii mitandao inatuchosha, , kila kitu mnaandika uongo. Kwanza sio majambazi wa 2 pikipiki zenyewe zilikua 3 iweje wawe wa 2? Kisheria mnastahili kusaidia serikali kwa uchunguzi. Mmejuaje alikua na madini ya ml90? Mtu anakufa akiwa mwenyewe tayari habari alikua na...
Aliyekwambia erasto jambazi nani? Msichume dhambi kushuhudia msio wajua. Erasto anawapa watu mawe ya mamilioni ya pesa tena bila hata shida. Vijana wanazungusha pesa yake mpaka wanatajirika. Ni wangapi wamerajirika kupitia huyu mtu na tunawaona? Hadi wana ma hotel na wanaendesha ma sport mjini...
Habari ya fitina haihusiani na hili jambo jamani. Wala huyo masai sio alotoa ushahidi wa kumfunga ustadh. Ushahidi tu wa cm unajitosheleza. Na kama pikipiki, sim card vilivyotumika vyote vina jina lake huo pia ushahidi wa masai? Tu sitetee ujinga. Leo wamefanya kwa huyu kesho itakua kwa nani...
Acheni kupotosha aliye muua erasto sio mtu wake wa karibu. Swaibu na erasto wapi na wapi? Sharifu mtoto wa juzi kinuka mkojo tu ana ingiliana je na erasto? Ujambazi wa kijinga na wivu wa biashara wa kipumbavu na kumhisia mtu vitu vya kijinga jinga tu. Sharifu watoto wa dogo sana kwenye ligi ya...
Na wengine mna tu Changanya, kwani mtu ili aitwe bilionear anatakiwa awe na sh ngapi? Kama mtu ana zaidi ya b 3 kwenda juu si ni bilionear au? Kwa mfano mtu anayeweza kumiliki naura spring au sg resort hiyo ni hotel za ml 500 au ni bilion? Acheni wivu aliyenacho anacho na aliye kutangulia...
Wewe ni -------- na huna huna unachokijua. Umenunuliwa kuchafua watu majina. Ooo majambazi, ooo wanawala wake za watu na kuwapiga pc uliwashika mguu wakitombana? Ulishawahi kuona picha akiwa anamtomba mama ako? Tuwekee ushahidi wa hayo unayo sema. Wanadam ni wanyama mnasengenya hadi Marehem...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.