mimi ni mhitimu wa kidato cha sita sasa kila nikifungua akaunti yangu nakutana na meseji hii you reached this site because you have been provisional selected into one of the programe but name are still pending sasa sielewi Habari mtaani zimezagaa kuwa tayari zimeshatoka nawasilisha msaada tafadhali
Hivi jamani watanzani tunakwenda wapi kodi ya line za simu itatusaidia nini wakati vyanzo vikubwa vya mapata kama bandari vimejaa zegwe na sasa nchi zisizo na bandari zinatukimbia tunabaki kulazisha watu walipe kodi zisizo eleweka maana yake ni nini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.