Recent content by WaHapahapa

  1. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini vitu hivi viko kwa wanajeshi?

    Encryption
  2. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

    utarudi hapa baada ya Hukumu kutoka, utakuja kuniambia pua zangu ni noma
  3. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Ikitokea mtu amekataa wito wa Rais kwenda Ikulu atachukuliwa hatua gani?

    Akuite? unakipi anakihitaji kutoka kwako ambacho wasaidizi wake watashindwa kukipata? labda kama ni Pisi kali na anahitaji mzigo
  4. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatengua hukumu ya kina Mwana-FA, AY na Kampuni ya tiGO

    wataalamu wa kunusa tunasema hivi, wakili wa tiGo ameongea na Washitaki kuwa ataishawishi tiGo kukata rufaa halaf atashindwa kesi ili wasanii walipwe 4 Bilioni ili wamgawie yeye (wakili wa tiGo) 1Bilioni halaf wasaniii wabaki na 3Bilioni. halafu mchezo utakua umekwisha.
  5. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo kushiriki SUK: Maoni ya Tundu Lissu

    jamaa keshafeli na ameshakwenda mwa mume wake sasa anawashwa nini na habari za TZ?
  6. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    Eneo lote kwa sasa wameshapima na wamekabidhiwa wananchi
  7. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    yes boss
  8. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    Wanataka kupiga pesa za wananchi
  9. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    wasumbufu sana kwa tamaa zao hizi
  10. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    Hilo jeshi linajenga mbali sana sio karibu na ntyuka, ila ni ile barabara inayokwenda Mvumi
  11. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    Chuo kinajengwa maeneo ya Chidachi, yaan ni huu upande ambao kumejengwa hospitali ya DCMC kwa mbele kidogo baada ya kuvuka shule ya sekondari Ntyuka. Watu wamepigwa mpaka picha kuwa wanalipwa fedha zao halafu wameanza kuleta longolongo zao
  12. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    Watapoteza Jimbo kizembe sana kwa hii migogoro ya kutengeneza mezani
  13. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    Mhe. Rais na mgombea wa Chama cha mapinduzi, kunajambo yawezekana wasaidizi wako wanakuficha kuhusu migogoro ya ardhi katika eneo la ngome ya CCM Dodoma. Kumekua na migogoro ya kutengenezwa na ile iliyokuwa CDA ambayo uliivunja mara moja ili kuondoa Migogoro ya ardhi jijini Dodoma, Lakini kitu...
  14. WaHapahapa

    JamiiForums Tanzania Kichunusi kama kijipu kimetokea kwenye kope za jicho nisaidieni dawa jamani

    we utakua wa kuperamiho tu
Back
Top Bottom