Recent content by wagotheleopardskiller

  1. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya hali kubadilika Biden amsuta Zelensky

    Kwani wanajeshi wa Ukraine wamerogwa? Kwanini wasimpindue jamaa kuepusha vifo na na uharibifu unaoendelea nchini kwao?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Watu wanawalaumu NATO bila kujua nani yuko nyuma ya NATO. Nchi zote zinazoisapoti Ukraine hawanufaiki nayo, nani mnufaika? Ni MYAHUDI, kwa sababu wayahudi bado wanaamini kuwa wao ni taifa teule la Mungu kwahiyo sisi wengine ni wasindikizaji tu. Kwahiyo anatumia kila mbinu kumuinamisha kila mtu...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    HAHAHAHAHAHA Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
  4. W

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    HAHAHAHAHA Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
  5. W

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Natamani sana Ukraine ichakazwe kwenye hii vita vibaya mnooo mpaka watafutane! Wazungu waache kujiona wao ni 'more humans' kuliko binadamu wengine. Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
  6. W

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nimekuelewa sana mkuu Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
  7. W

    JamiiForums Tanzania 'Majeshi ya Russia yalikuwa na upole sana kwa Ukraine' Anasema afisa mstaafu wa jeshi la Marekani, ambaye pia amfananisha Zelensky na 'Mdoli'

    Nililiona hili tangu mwanzo na nadhani ndiyo maana mpaka sasa bado vita inaendelea
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

    Karibu sana Pugu kwetu Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

    Mie niko Mpilipili hapa Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwenu nyie wanawake? Wanaume tunakaribisha kwa ajili ya kusoma comments

    Lindi sehemu gani nduguyangu? Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Za ndani kabisa mkuu wa PGO muda wowote kulikwa Kadi nyekundu akifuatiwa na namba tatu katika tasnia hiyohiyo

    Sijaelewa kitu Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
  12. W

    JamiiForums Tanzania Amejiajiri kama Serikali itakavyo lakini...

    Hata mimi ningemnyima nafasi ya kufundisha shuleni kwangu, mwalimu wa kiswahili anaandika 'tafadhari?' Tena kasomea Zanzibar kulikozaliwa kiswahili! Bora afanye biashara hiyo hiyo nadhani itamfaa zaidi kuliko kwenda kuwafundisha madudu watoto wa watu. Sent from my SM-G935V using JamiiForums...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye watoto wa kike walioko vyuoni

    Kwani elimu inaongeza utamu wa kitumbua? Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata au nimepatikana?

    Nimekuelewa sana mzee mwenzangu Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom