Ni kweli atazomewa!! ila atazomewa na vijana mnaokaa kwa shemeji zenu hadi mmefikia umri huu, na mama zeu wanaokaa pamoja nanyi ukweni. Ila shemeji zenu wanaolea kwa kuwa wamewachoka watamshingilia Lisu!! Jitambue kijana, siku shemeji yako akikushika tako ndio utajua maana ya kutojitegemea!!
Dada yangu nafikiri baadhi ya wachangiaji hawakuelewi, ila nimekuelewa sana na hoja yako ni ya msingi kabisa. kwa taratibu za kanisa Marehemu Dr Mengi alitakiwa kufunga ndoa baada ya kifo cha mkewe wa kwanza na si vinginevyo, maana kifo tayari kingekuwa kimewatenganisha. Na hapa hata kwa mjane...
Dr
Yaani ndani ya miezi minne uliyokaa Iringa tayari umeshafanya utafiti na kutoka na matokeo?? Miezi minne utibu wagonjwa na wakati huo huo ufanye utafiti? Nafikiri ulichoandika ni umbea na maneno ya vijiweni ambapo wewe ni mwanachama. Nachelea kusema kuwa wewe ni mtu wa ovyo, na hata napata...
Issue sio kuchukuliwa hatua unapaswa kuelewa hoja!! achukuliwe hatua ikithibitika sababu kwa nini hakuwepo!! mtoa mada mmoja anasema Meneja alkuwepo nje ya Jengo alizuiwa na maafisa usalama, huoni mh kajitia aibu kwa kukurupuka!!
Ndugu wana jukwaa
Katika ziara yake jana Raisi wa Jamhuri ya Tanzania alimchukulia hatua za kinidhamu Meneja wa Tanesco mkoa wa Mbeya. Sababu kuu iliyomkasirisha Rais ni kukosekana kwa Meneja huyo katika ziara ya yake alipokuwa kwenye kiwanda cha cement cha Mbeya.
Rais alinukuliwa akisema...
Hiyo simulizi wasimulie wasukuma wenzako wasiolewa kwa sababu hata mwanafunzi wa wa A level anayesoma uchumi anaweza kuulezea zaidi.
sijui wana CCM mna akili gani jamani??
Umenifurahisha sana ndugu!! Mi nina ndugu yangu mwana ccm nyumba yake inauzwa bank eti kaomba familia imchangie, jibu nililompa shetani tu ndio anajua!!
Ndugu yangu Zito ajifunze zaidi kuhusu Russia, ameandika asiyoyajua, kwa mfano Putin alikuwa KGB wakati wa USSR ila kwa Russia hakuna KGB tena. Uhuru wa habari haujabanwa kabisa, sijui anaizungumzia Russia ipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.