Recent content by waffuka

  1. W

    Sakata la kuficha hela ughaibuni: BoT yamkana Mbowe, Kufungwa miaka 14?

    Hawa itakuwa ni fisiem wakishrikiana na msaliti.Naona amechoka ss kuishauri sirikal anakuja kupunzikia huku!
  2. W

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Achani wepesi kusifu,tusubrie tuone kama wale mapapa tunaowajua wakitumbuliwa,hapo ndo nitampima magu!
  3. W

    Loliondo: Jipu lililowashinda Mkapa na Kikwete. Je, Magufuli atalitumbua?

    Tutamuelewa tu kama kweli yy ni tofauti na wale,lkn sio kuwakamata wakurugenz makampuni ilihal wimbo wa nani mafisadi,majangili etc unaimbwa hadi na mkulima duni aliye kijijin
  4. W

    ACT-Wazalendo Dar kufanya maandamano ya amani kumuunga mkono Rais Magufuli

    Ndege wanaofanana huruka kwa pa1!sioni sababu kutumia nguvu kuaminisha umma ati nyie wazalendo,tunachotaka kuona ni matendo,halafu kuweni makini na aina ya watu mnaowashabikia isewe mlikua na nia njema mwisho mkaonekana wote wapigadili.
  5. W

    CCM tuna hali mbaya sana, inasikitisha kweli!

    Turejee kaulimbiu 'hapa kazi tu' kisha kikao cha dharura 'nec' tusubr tuone.........sisiem ni ile ile tu!
  6. W

    Upinzani kupewa Wizara (?)

    Awaweke tu!watakua tayr wanajua mashart,ila naona muda si mrefu watz tutabaini yaliyo nyuma ya pazia
  7. W

    Tamko la wazalendo Sakata la COCO Beach na tajiri Yusuf Manji

    Sawa anaweza akapewa kibali awekeze!!lkn achunguzwe kwanza isije kuwa hata hizo mihela anazotaka kuzitumia kuweza zina senti zisizohalaliza watz ndani yake.
  8. W

    Tamko la wazalendo Sakata la COCO Beach na tajiri Yusuf Manji

    Atakua na macho mazuri sn kuona fursa nzuri kabla ya watz wote.
  9. W

    Kamishna wa Operesheni na Mafunzo CP Chagonja, amehamishwa kwenda Jeshi la Zimamoto

    Ivi ndo kusema hakuna anaefaa bila yy?mbona kama hana sifa tena kulitumikia jeshi au ndo kusema ccm ni ileile?
  10. W

    Warioba: Mabadiliko bila maadili kwenye Katiba Mpya kazi bure

    Nafkr huyu mzee apumzike tu maana tuliowengi hatumuelew! haingii akiln rasimu kama ile nzuri kabisa,pamoja kupigwa makonde leo uwasifie waliokupiga.
  11. W

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Nafkr watz wengi watamuelewa raisi kama atawajibsha mawazr na watt wa vigogo kuliko kutudanganya na hawa watu huku chini.Mafisadi wakubwa wanaosababisha ni hao wakuu,hawa wanashirikishwa na mgao wao kidogo tu.
  12. W

    Mabasi ya UDA yakamatwa, Ridhiwani Kikwete ahusishwa

    Ni pa1 na tanza9t1
  13. W

    Naweza kumtafsiri Zitto Kabwe hivi...

    Hauhitaji elimu ya chuo kikuu kufaham hilo
  14. W

    Mgao wa umeme umeanza rasmi leo Dar

    Nikuunge mkono,huku Ar ndo haswa kitendawil,nahisi mvua zinanyesha ila bd hawajazungumzia,kaulimbiu ya sasa ni umeme wa gesi,sfahamu kama ile mitambo ya maji bado ipo........!?
Back
Top Bottom