Recent content by WADUNIA

  1. WADUNIA

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanapovunjika mmoja kulalamika amepotezewa mda

    kwenye mapenzi hakuna kupotezewa muda wajinga ndo hujipotezea muda wenyewe,,wewe m2 na akili timamu upotezewe muda? Ukiona muelekeo sio anza kumpotezea yeye muda akija kustuka kumekucha....wewe huyoooooooooo kama mwenye wa clouds tv.....
  2. WADUNIA

    JamiiForums Tanzania "wanaume 2we makini na mademu wa dot com.."

    Dawa ya mademu wezi ni kuwapa tu maumivu,,akija kustuka unasepa kama mama tibaijuka na mkwanja wote,,,,
  3. WADUNIA

    JamiiForums Tanzania "wanaume 2we makini na mademu wa dot com.."

    ikinyesha hakikisha analoa yeye...
  4. WADUNIA

    JamiiForums Tanzania "wanaume 2we makini na mademu wa dot com.."

    Wanandugu mi ni member wa jukwaa hili sema nilipotea hewani kwa muda,,,maisha ya kibongo tena vijiji vingine hakuna hata network basi ni shidaah hata kuingia jamiiforum.... Let me back to the topic.....mademu wa kileo ukimuacha anadai amechezewa na kupotezewa muda,,ila wewe anapo kuacha...
  5. WADUNIA

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kichaga kuja hapa ! pangeni foleni niwafundishe fashion

    Ha!haaaaaaaa,,ni shidaaah...
  6. WADUNIA

    JamiiForums Tanzania Nipo bize na mambo yangu eti mademu wananishangaa kwanini siwasumbui tanga jamani sijapata ona...

    sijioshei ndugu ila pengine kuna wajuzi na wenyeji wa tanga wanayafahamu mambo haya waweza nieleza nini malengo na makusudio ya hawa wadada kwani kwa upande wangu mambo hayo nayaonaga bongo movie..
  7. WADUNIA

    JamiiForums Tanzania Nipo bize na mambo yangu eti mademu wananishangaa kwanini siwasumbui tanga jamani sijapata ona...

    Naomba ushauri cs ni mambo mageni kwangu..
  8. WADUNIA

    JamiiForums Tanzania Nipo bize na mambo yangu eti mademu wananishangaa kwanini siwasumbui tanga jamani sijapata ona...

    Wana forum naombeni ushauri wenu, nipo jijini tanga kwa muda wa miezi 2 sasa tangu nihamie hapa nikitokea dodoma, tatizo ni habari ninazo pata mitaani na shutuma nyingi sana, eti ohh we kaka unajidai sana huna chaming na wenyeji wako unatuonaje kwani mbona hatusikii habari zako mitaani?,,au...
Back
Top Bottom