"wanaume 2we makini na mademu wa dot com.."

"wanaume 2we makini na mademu wa dot com.."

WADUNIA

Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
11
Reaction score
5
Wanandugu mi ni member wa jukwaa hili sema nilipotea hewani kwa muda,,,maisha ya kibongo tena vijiji vingine hakuna hata network basi ni shidaah hata kuingia jamiiforum....
Let me back to the topic.....mademu wa kileo ukimuacha anadai amechezewa na kupotezewa muda,,ila wewe anapo kuacha anajidai bibi bomba na mashauzi ya kutosha,,shime tuongeze uongo akijidai kakuacha kumbe wewe ndo ulikuwa umemchoka akihisi kakukomoa wewe kumbe kwake imekua kuvuja kwa pakacha.......
 
Huwa nikiona dalili ya mvua faster natafuta mwamvuli sisubiri mpaka ninyeshewe.
 
Dawa ya mademu wezi ni kuwapa tu maumivu,,akija kustuka unasepa kama mama tibaijuka na mkwanja wote,,,,
 
Back
Top Bottom