Recent content by wadatu

  1. W

    Mnyika akielezea Ilani ya chadema/ukawa ITV sasa ivi

    Tehe! Kumbe kuna tv ya siti down au nimelala naota
  2. W

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    Profesor ameshindwa kutuonesha uhalali wa kufuja fedha hata km sio za umma. Kwann watu wagawane?
  3. W

    Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

    Kwa kweli ttatizo hili linazidi kukua siku hadi siku, sikuwahi kufikiria kuwa ningesikia au kumuona mtu ninayemfahamu ambaye ni shoga lkn nilihuzunishwa sana na taarifaza jamaa ninayemfahamu kabisa kuwa na yeye ni shoga. Nadhani serikali itunge sheria kali ya kudhibiti jambo hili la sivyo...
  4. W

    Ongezeko la mashoga bongo. Tatizo ni nini?

    Mnafaidije????? au unataka kutwambia kuwa na ninyi mnatumia mlango wa nyuma kama mashoga?
  5. W

    ..Mawaziri saba watoswa.....

    Haya sasa Jk anakaribishwa kuzungumza msibani, ngoja tuone hapa.......
  6. W

    ..Mawaziri saba watoswa.....

    ukiona mtoto wa jirani amekutukana ujue si bure ametumwa na mzazi wake. Nape amepata wapi ujasiri wa kumsema Kawambwa tena wazi wazi? Hili nalo ni picha jingine nataka kuona mwisho wake, je JK ataweza kuwatosa watoto wa kwao? Na je kama waliokuwepo wote akili zao zimedumaa, nani ataweza kuziba...
  7. W

    Sitta: Bilioni 10 zimeandaliwa kwa ajili ya rushwa urais 2015!

    Kufika mwaka 2015 tutajua mbivu na mbichi, maombi yangu ni kuwa wavurugane wasipate muafaka halafu si kuilaini twajitwalia nchi
  8. W

    Wapinzani: Tarehe 10 Oktoba 2013 ni Maandamano ya nchi nzima

    Hivi hawa watu wanatokea wapi wasioitakia mema nchi yetu, akili zao sawa na funza waliozaliwa katika vinyesi! Nashangazwa kuona bado kuna watu wanapigania ili kuona matakwa yao yatalindwa milele, hilo haliwezi kutokea hata kama haki itachelewa lkn itapatikana tu. Watu wanaotegemea kubebwa siku...
  9. W

    Katiba Mpya: CHADEMA, CUF na NCCR- Mageuzi wakutana na wanahabari Sept 15, 2013

    Navipongeza sana vyama vya siasa kwa ukomavu uliooneshwa, hakika sasa wanaonekana kuelewa maana ya vyama vya upinzani. Vyama hivi vikiungana kwa dhati hakika magamba wana wakati mgumu, ila tatizo moja tu hawachelewi kugombana tena.
  10. W

    Wamiliki shule binafsi waiangukia serikali kupandisha vibali walimu wa kigeni $ 2000

    Sitaki hata kusoma michango ya wengine mmezungumza nini. Kwenye hili naomba niunge mkono msimamo wa serikali tena ikibidi iongezwe hata mara tatu ya hiyo gharama, kinachoendelea sasa kwenye vyuo binafsi na mashule binafsi ni uzuzu na wala sio kuangalia ubora wa walimu. Walimu wengi wanaoletwa...
  11. W

    Mwenyekiti wa CHADEMA, wabunge Lissu, Msigwa, Sugu, Silinde washikiliwa polisi Iringa!

    Kwa taarifa ya habari ya channel 10 wameachiwa kwa dhamana na kosa walilokamatiwa ni kuzidisha muda wa mkutano wa hadhara. Polisi wananishangaza sana kwasababu huwa wanaingilia mambo yasiyowahusu na yanayowahusu yamewashinda. Hatujaona wala kusikia au kupewa majibu ya nani alimmwagia Tindikali...
  12. W

    Mwenyekiti wa CHADEMA, wabunge Lissu, Msigwa, Sugu, Silinde washikiliwa polisi Iringa!

    Hivi Tanzania ina tofauti gani na nchi zinazosemwa kuwa hazina demokrasia na mataifa ya magharibi? Kwa kifupi tumeshindwa kuonesha kwa vitendo maana ya democracy lkn siku hazigandi wakati utafika watakapojuta waliogeuza dhamana za vyeo vyao kuwa ubabe, utemi, dhuluma nk. Naisikitikia nchi yangu...
  13. W

    Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Ni vizuri kuanika majina yao kama utaratibu unavyoendelea kwa hili nampongeza sana Mwakyembe lakini baada ya kuanika majina nini kitafuata? Tunataka washughulikiwe ikibidi tufungue mahakama ya mihadarati kama mahakama zetu za kawaida zinaelemewa na kesi hizo.
  14. W

    Mafisadi wafilisiwe, Serikali itumie risiti na traffic 'notifications' za elektroniki - Wabunge

    Hongera mpambanaji Zitto kwa jitihada zako na wanakamati wenzio. Kimsingi tatizo la ukusanyaji mapato hapa nchini ni kubwa kuliko hata tunavyolifahamu. Kwanza chombo tunachokiamini kukusanya mapato kimekuwa na mtandao mkubwa wa kujipatia mapato mifukoni mwao na sio kwa taifa, pale airport...
Back
Top Bottom