Recent content by Waberoya

  1. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla Mzee wa makala za "Kwa maslahi ya Taifa", mbona uko kimya bei ya sembe imefika 1,800/- kwa kilo

    Kwa hiyo usiku wa saa saba umeona mtu wa kuandika matatizo ya watanzania ni Pasco katika watu milioni 70 wa nchi hii, moyo wako, akili zako, hisia na matamanio yako ni kuwa Pasco aandike jambo kuhusu kupanda bei!!!!! 1.umeonyesha udhaifu mkubwa, wewe hauwezi kuandika? Au ni vile unajiona ni...
  2. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Rais Putin kufanya ziara ya nje ya Urusi kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita

    Lengo hasa la NATO ni nini?
  3. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe zote za G7 zimeishia kwenye kikwazo cha dhahabu ya Urusi

    Wasaidizi wa Putin ni wabaya na wana hasira sana putin yuko so composed, considerate na humanity , nje ya hapo...London,madrid, paris kungekuwa na watu wanatema vumbi saa hizi... Abaki hai tu
  4. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Mbwembwe zote za G7 zimeishia kwenye kikwazo cha dhahabu ya Urusi

    India, china iran watanunua tu Wahuni wa europe watanunua tu Gold itapanda bei europe Hivi wazungu wa europe mmeona wana akili kweli ? Au takataka?
  5. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Rais Putin kufanya ziara ya nje ya Urusi kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita

    Naona history hauijui Putin sio mbabe, mpole kabisa na humanity nato na usa walimchukulia poa Weka akili zako kwenye ukweli, utakuwa na akili njema kuliko kufuata mkumbo
  6. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hivi kuna mtu bado anawaona urussi ni burundi??
  7. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Mtaa wa Mafia na Nyamwezi zamani

    Mzizima imechangamka miaka mingi sana Sasa hapo mtu kapaki gari zake nje kitaani
  8. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Buriani rafiki yangu wa udogoni, Ibrahim Mussa Panzi

    Lovely
  9. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Sera za Majimbo ni za Lazima! Asiyetaka ahame Nchi!

    Why nilikane mkuu Hii ni imani yangu, msimamo wangu, mtazamo wangu, na mpaka kesho nasimamia hili Kitu gani kimekufanya uhisi nitalikana? i am genuine, nasimamia ukweli wa ukweli na siangalii mtu au watu..
  10. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Video: Fatma Karume Kwenye Mhadhara wa Kimataifa Asimulia Unyama wa "Kinyago Tulichokichonga Wenyewe"

    Mama yako nae anaanza kuchokwa ulipopasema au inakuwaje? Tupe experience nabii
  11. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kwamba madikteta huwa hawastaafu, lakini Mbowe must go

    Anzisha chama chako CDM sio chama cha siasa Wala hawana mpango kuchukua dola, Wala hawawezi kuchukua dola Weka akili na moyo , nguvu, energy kwenye vitu vya maana
  12. Waberoya

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Prof. Assad: Hatutaki Rais anayesikiliza kila mtu na la kila Mtu!

    sahihi sana legend
Back
Top Bottom