Rais wa Ufaransa ameoa mwanamke aliyemzidi miaka 24 yaani Emanuel Macron kazaliwa December 21, 1977 wakati huo mke wake anaitwa Brigitte Macron kazaliwa April 13, 1953 na maisha yanaendelea..
Muombe Mungu ndugu ili nafasi yako ipatikane kwa namna yeyote ile, muombe Mungu hata kama ajira hamna ila nafasi yako iwepo, Mungu ni mkuu lazima ufanikiwe kwa vyovyote vile
Wana jukwaa habari ya muda huu, naomba kuuliza kwenu kwanini Flash yenye ukubwa wa 64 GB au kuanzia 64 GB huwa hazisomi kwenye TV? Na je, nifanyaje ili iweze kusoma kwenye TV?
Naomba kufahamishwa kwa uchache tu.
Je, ni nani anapaswa kuwa na muhuri wa Halmshauri ya kijiji kati ya Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji? Muhuri huu ni tofauti na Mihuri ya Afisa Mtendaji au ule wa Mwenyekiti.
Kuna Mihuri special huwa inaitwa Mihuri ya Halmshauri ya Kijiji...
Duh hii imetokea Kijiji cha Kibole, Kata ya Itete.. Halmshauri ya Wilaya ya Busokelo.
Nilimpigia Afisa Mtendaji wa Kijiji icho cha Kibole na kumpa pole kwa kilichotokea.
Kwakweli inashangaza sana Hakimu kutoheshimu maamuzi ya Mahakama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.