Recent content by wa ukae

  1. wa ukae

    GE2025 Prof. Kabudi: Samia ametimiza aliyoshindwa Mwalimu Nyerere

    Sasa unamtukana Kabudi amekosea wapi kwenye maneno yake au Kuna neno la uongo ameongea?
  2. wa ukae

    Jakaya Kikwete ndiye aliyemtengeneza Polepole

    Tatizo tuna Wapinzani wa hivyo akitokea hata Mwehu akiikashifu na kunitukana CCM watasema huyo ana akili timamu
  3. wa ukae

    Binadamu akifariki hupendwa sana kuliko nyakati za uhai wake

    Nami nipo kupata mawazo ya wachangiaji
  4. wa ukae

    GE2025 Salum Mwalimu: CHAUMMA ikishika dola, itabeba gharama zote za timu itakayoshiriki Michuano ya Klabu bingwa Afrika

    Yote ulisema ameyazungumzia ila mtoa mada kachagua Hilo la timu za mpira ili Wana JF wamnange Mwalimu
  5. wa ukae

    Polepole, Sio kila blunder wakati wa utawala wa Magufuli wakalaumiwa mtandao; hii ni kufanya watu ni wajinga na vilaza

    Sio Wana mtandao sio Polepole wote washenzi watu Polepole anataka kujifanya msafi wakati wote ni walewale
  6. wa ukae

    Eneo la mkutano wa kampeni za CCM hapa Dodoma siku ya jana, liligeuka kuwa stand ya Daladala kutokana na wingi wa mabasi ya kusomba watu

    Kwa hiyo hao unaowazungumzia wanaojaa kwenye mikutano wanakuwa watu au sio watu?
  7. wa ukae

    Polepole, Sio kila blunder wakati wa utawala wa Magufuli wakalaumiwa mtandao; hii ni kufanya watu ni wajinga na vilaza

    Kwani Magufuli hakuna watu? Wako wapi kina Ben saa nane, Azory nk au yeye ndio mtu ila wenzie aliowatanguliza waliokuwa mbwa?
  8. wa ukae

    GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

    Polepole atafanya nini wakati anaongea amejificha anaishi kama digidigi
  9. wa ukae

    Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    Kwa hiyo kwa taarifa hii ndio Nchi imeshagawanyika vipande vipande? Maana mpaka sasa sijaona jipya ambalo Watanzania hawajalisikia
  10. wa ukae

    Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Na tukiweka mahaba ya Udini na Uccm pembeni akuhitaji wala Elimu kubwa kuonana Kikwete ndio anaongoza Nchi mbaya zaidi anaunda kundi dogo la kifalme ili watutawale milele
  11. wa ukae

    Asili ya majina Mikocheni, Masaki na Kariakoo

    Hii imekaa vizuri
  12. wa ukae

    GE2025 Walichomfanyia Ummy Mwalimu ni zaidi ya kiini macho

    Kuna maeneo kama matatu hivi ndio yamefanyika mabadiliko maeneo mengine walioshinda ndio waliotangazwa
  13. wa ukae

    GE2025 Kamanda Muliro: Nina uhakika kwa Jeshi hili, sidhani kama yupo anaependa kufa!

    Kututisha anatutisha kwa sababu hakuna Mtanzania alie tayali kukabiliana na polisi wote tunatamboa vichochoroni
Back
Top Bottom