Mtoa mada kasema wagonjwa wengi huduma huchukua muda mrefu, sawasawa kabisa atujulishe pia ikama ya waganga na wataalamu wengine. Kama wagonjwa ni wengi bado inaendelea na sifa ya matibabu bora hakuna upuuzi wa kuandikiwa dawa kabla hujajieleza shida yako
Waache waje wote hadharani kweupe, Peee.
Tuwaone kwani watanzania wana uzoefu wa kuwatafuta viongozi wao.
Alianza Rais wa awamu ya kwanza Mzee wetu mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi. Julius Kambarage Nyerere.
Akaja Mzee Ruksa, Ali Hassan Mwinyi akampasia "Che Nkapa" Benjamin William...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.