Kwani cdm inafukuza wanachama?

Kwani cdm inafukuza wanachama?

Wa Songea

Member
Joined
Nov 10, 2013
Posts
12
Reaction score
1
Zitto katika taarifa yake anasema atakuwa wa mwisho kutoka CDM. Kwani cdm inazoezi la kufukuza wanachama au viongozi wasaliti?
 
kwa sababu chadema sio CCM .....haigopi kuvua gamba
 
Unategemea nini kutoka kwa uongozi wa kiimla?

Asemalo bwana ndilo ukibisha OUT!
 
Zitto katika taarifa yake anasema atakuwa wa mwisho kutoka CDM. Kwani cdm inazoezi la kufukuza wanachama au viongozi wasaliti?

yupo confused..kakubali adhabu na kuahidi kutoa ushirikiano,ila nasema atakuwa mwisho kuondoka kwa nia yake.Ni kwamba anategemea mwisho wa chama,na anataka huo miwsho abaki yeye ili apate ushindi wa kuweza kimaliza chama na anaowaona kuwa madui zake.
 
Back
Top Bottom