Recent content by wa majambo

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya walinzi wa Bonite: Mengi atangaza milioni 50

    very good idea....tunataka watu wenye mawazo mazur kama ww keep it up
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kilombero: Gaidi mwingine akamatwa tena, baada ya njaa kali huko Mlimani

    we unamjua gaidi wewe au unaropoka tu!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tishio Al-Shabaab, Polisi wabuni njia mpya Uwanja wa Ndege

    we Acha ufala unakua kama hanith...au huna mke ndo Maana unaongea upuuzi humu. askari akiwa kazini ndio apapase wake za Watu kwan imeshindikana nini kuwepo askari Kike!!? mpuuzi we....kama huna cha kuchangia funga domo lako
  4. W

    JamiiForums Tanzania Hongera Tv Imaan na Radio Imaan

    Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza chombo cha habari Tv na Radio Imaan kwa kazi kubwa wanayoifanya ya kuelimisha jamii,mfano mzuri ndani ya siku tatu hizi wamekuwa wakikemea vikali kuhusu upotoshaji kwa jamii juu ya hiki wanachoita sikukuu ya wajinga na madhara yanayotokana na upotoshaji huo...
  5. W

    JamiiForums Tanzania natafuta watengenezai mihuri hapa dar

    Tanzania Sign writers posta ...ngoja nkuchekie contacts
  6. W

    JamiiForums Tanzania Hongera sana TV Imaan Tanzania kwa kupata kibali

    startimes...kwa morogoro na Dar pia kwa dish utaipata...
  7. W

    JamiiForums Tanzania Hongera sana TV Imaan Tanzania kwa kupata kibali

    haujui halaf unajifanya mjuaji....uliza kwanza!!! walichopewa awali ni CP(construction permit) ambauo inakuwa go ahead ya kuandaa studio na kurusha matangazo ktk test siganl wakat unasubir kibali cha moja kwa moja ambacho sasa kimepatikana na neno test signal litaondoka kwenye display ya Tv Imaan.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Hongera sana TV Imaan Tanzania kwa kupata kibali

    Hatimaye mamlaka ya mawasiliano Tanzania jana imetoa kibali kwa Tv Imaan, television ya kwanza ya Kiislam inayorusha matangazo kwa lugha ya kiswahili. Hongereni Tv Imaaan Tanzania ''Elimu Bila mipaka" sasa safar ndio inaanza tunamuomba Allah akilinde chombo chetu.
  9. W

    JamiiForums Tanzania TBC kwa nini mnapiga mziki tu usiku!

    mnapata tabu bure kuangalia hizo TV ngoma...angalien Tv Imaan mpate faida!
  10. W

    JamiiForums Tanzania Jamani! milegezo mbona aibu kubwa hii!.

    wangekuwa wasafi tungesema wapo kwenye biashara sasa hizo boxer na singlend ni nyeusiiiiii....na hayo makalio mpaka yana ukurutu..dah ni shida!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kukimbiza Mwenge Kumepitwa na Wakati!

    ni namna ya kutengeneza 10% tu upuuzi mtupu!
  12. W

    JamiiForums Tanzania Harusi ya Vicky Kamata ni mil 96

    ndoa kufanyika kwa gharama kubwa haimaanishi ndo wataishi kwa amani na upendo...wataoana kwa gharama kubwa lakin wataachana bila hata sent tano.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mboga zetu za asili: Naanza mimi na wewe taja za kwenu.

    kalubwagila Figiri Chunga
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara ampiga risasi polisi, ajiua

    Angekua padri wangesema waislam...watu wakikosa akili bwana!!!!!
  15. W

    JamiiForums Tanzania Hali ilivyo kuwa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana katika kesi ya Shekh Ponda

    Bora hata ungekaa kimya tungejua pengine unajua,sasa kama unajua sheria kesi ya ponda ni ya kunyimwa dhamana??to upuuzi wako hapa
Back
Top Bottom