Qualifier
JF-Expert Member
- Dec 14, 2012
- 1,252
- 408
Wapendwa wana jamvi,
Nimepanda daladala kutoka Mbezi ninaelekea Kibaha, kuna jamaa alipandia daladala mbezi na ameshukia kiluvya ni mtu mzima kiasi, kwa kumkadiria yuko umri wa 30s amevaa mlegezo suruali ya jeans iliyo pauka , ile anashuka mlongoni, shati likapanda juu kiasi kwamba boxer aliyovaa yenye michirizi ya rangi ya kijivu na nyeusi ikawa inaonekana na ina matobo ya kuchakaa mpaka ngozi ya makalio yake inaonekana watu wamecheka na kutema mate pptuuuuuu!
Jamani watu wenye tabia ya kuvaa milegezo acheni mnatia aibu!
NAWASILISHA