Recent content by Wa kupuuzwa

  1. Wa kupuuzwa

    Unawezaje ku-save fedha za kujikimu zikusaidie baada ya kuhitimu

    Mkuu bajaji ya mil 6? Same how nimekuwa motivated kama hutojali endelea kushusha madini inawezekanaje hio?
  2. Wa kupuuzwa

    Unawezaje ku-save fedha za kujikimu zikusaidie baada ya kuhitimu

    . Sawa mkuu, vipi na eneo husika ? Hostel na kukaa nje wapi ni afadhali??
  3. Wa kupuuzwa

    Unawezaje ku-save fedha za kujikimu zikusaidie baada ya kuhitimu

    . Sawa mkuu, nilitamani nifahamu uwezekano wa kusave ukiaangalia na asili ya eneo husika mfano kwa life ya Dar na Dodoma kwanza Moro N.k ama ukaaji wa hostel na nje wapi ni afadhali katika kusave??
  4. Wa kupuuzwa

    Unawezaje ku-save fedha za kujikimu zikusaidie baada ya kuhitimu

    Anhaa sawa, sikuenda chuo kwa sababu ya matatizo ya kiafya, So unaitumia kuizungusha katika biashara zako? So hii kitu inawezekana sio? Upo mkoa gani(chuo) Gharama za maisha hapo hazikuathiri chochote???
  5. Wa kupuuzwa

    Unawezaje ku-save fedha za kujikimu zikusaidie baada ya kuhitimu

    Habari za wakati huu, Kwanza kabisa nikiwa Kama mTanzania naungana na waTanzania popote walipo ndani na nje ya kuomboleza kifo cha Hayati J. P Magufuli! Niende Moja kwa Moja kwenye Mada Kama tunavyojua bodi ya mikopo. Imekuwa ikitoa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya kujikimu katika maisha yao...
  6. Wa kupuuzwa

    Naomba kupewa uzoefu wa maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM

    Kwa gharama za maisha no doubts kwamba UDOM pana unafuu, kuanzia accessibility ya hostels itakayopunguza gharama za kupanga nje Though UD pana raha yake (kidding
  7. Wa kupuuzwa

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Tumrudishe jakaya atuvushe, Au nasema uwongo ndugu zangu???
  8. Wa kupuuzwa

    Ole Sabaya leo atakuwa live katika kipindi cha Star Tv cha Big Ajenda

    Huyu Aloyce Nyanda namkubali sana,
  9. Wa kupuuzwa

    Mfumo wa kutunuku matokeo ACSEE 2021

    Mkuu njoo na details kidogo, tujue tunaanzaje kuchangia
  10. Wa kupuuzwa

    Kucheleweshwa ratiba ya mtihani kidato cha sita

    Wanawezasema mwezi April!! Who cares??
  11. Wa kupuuzwa

    Naombeni mniambie umri wa Marioo

    Huo muda mnautoa wap? Wa kujadili umri wa watu
Back
Top Bottom