Kucheleweshwa ratiba ya mtihani kidato cha sita

Ali Muhammad

Member
Feb 22, 2021
5
3
Hivi ni kwanini NECTA hawajatoa ratiba ya mtihani wa kidato cha sita hadi leo. Tunaelekea mwezi wa tatu Tena na hakuna taarifa yoyote juu ya mtihani.

Na kawaida necta hutua ratiba toka mwezi wa kumi na mbili au mwezi wa kwanza.
 
Hii inauzunisha sana mkuu, inakatisha tamaa, sijui shida ipo wapi, ila kuna fununu kuwa ni tar 3/5
 
Ratiba huwa J3 ya kwanza ya mwezi May. Mbona inajulikana kabisaah
 
Tatizo serikali bado inawasi wasi na hili janga la Corona. Hawataki yatokee yaliyotokea 2020. Muwe wavumilivu
 
Ratiba hii hapa
Screenshot_20210303-194315.jpg
 
Back
Top Bottom