Recent content by WA KISHUA

  1. WA KISHUA

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Baba yangu anauza kiwanja chake, amekwama anahitajika akatibiwe

    Unaweza ukasema kwa urahisi kwa kuwa hayajakufika, uhai wa mtu ni bora zaidi.
  2. WA KISHUA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wife kanuna kisa nimepata shavu Uganda

    Habari wadau wa jukwaa pendwa, jukwaa nalolipenda kushinda mengine hasa kutokana na kuwa na vioja vingi kila kukicha. Muda mrefu umepita tangu kutia maguu kwenye jukwaa hili, hiyo ni kutokana na shughuli zangu za kijasiriamali ambazo zimekuwa zikini-keep busy 24/7 365. Baada ya kuamua kufanya...
  3. WA KISHUA

    JamiiForums Tanzania Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

    Nilikuwa sitaki kukujibu sema ngoja nikujibu kulingana na ulichoandika, Unaposema huoni MTUKUFU amekosea wapi hilo ni uongo, Unawezaje kusema kwamba anaminya mianya ya rushwa wakati huo huo anaminya demokrasia. Unawezaje kusema anazuia matumizi mabaya ya fedha wakati huo huo Kiranja mkuu wa...
  4. WA KISHUA

    JamiiForums Tanzania Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

    VIJANA WA LUMUMBA COMMENT ZENU ZINAFANANA KWELIKWELI
  5. WA KISHUA

    JamiiForums Tanzania Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

    LUMUMBA MOJAAAAAA
  6. WA KISHUA

    JamiiForums Tanzania Zitto Atuma Salaam Nzito. Kuna Mkakati Mzito Bungeni

    VIJANA WA LUMUMBA KWENYE UBORA WENU
  7. WA KISHUA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika, ndoa inapumulia oksijeni

    Kila kitu nimemuonyesha lakini bado ameshikilia msimamo wake
  8. WA KISHUA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika, ndoa inapumulia oksijeni

    Huwa napenda sana kuficha udhaifu wangu, hiyo ni moja ya silaha zangu, hizi sio chai wala kahawa
  9. WA KISHUA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika, ndoa inapumulia oksijeni

    Tumebahatika kupata watoto wawili
  10. WA KISHUA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika, ndoa inapumulia oksijeni

    Asante Kaka
  11. WA KISHUA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika, ndoa inapumulia oksijeni

    Habari zenu wafuasi wa mtandao pendwa na wale wapenzi wa jukwaa hili la mahusiano, natumaini wote ni wazima na mko imara kama Simba sema sio Simba hii ya kina Manara ni uimara wa Simba mnyama. Pasi na kupoteza wasaha ningependa niendee moja kwa moja kwenye dhumuni la kuandika uzi huu ambao...
  12. WA KISHUA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kibamia au dushelelee, Ukweli ni upi?

    LUPEMBE Means Tigo/Matako Bila shaka utakuwa ni m2 wa kula Tigo Veve na c o bure!
  13. WA KISHUA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

    Le mariyooooooo katika ubora wake, endelea kujinadi bwa mdogo!
  14. WA KISHUA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Massage ya ebony touch parlour

    Asante! Heaven on Earth
  15. WA KISHUA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ana tatizo gani? Nikimuomba tufanye tendo la ndoa anasema hajisikii

    Wewe Jamaa lazima utakuwa Comedian
Back
Top Bottom