Recent content by w24

  1. W

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri uwanja wa CCM Kirumba-Mwanza: Mkutano wa kufunga kampeni za CCM, Oktoba 24

    Sijui mengine ya ushindi ila mdau anazingua saana,cheki hizi michapio 1.mgombea urais kufa alafu kampeni na uchaguzi uko palepale,kweli mtu wa levo ya udokta hajui nini hutokea kifo cha mgombea kikitokea? 2.sadam rais wa kuwait! 3.madini ya bati hutengeneza mabati (huyu nais alikua anakariri...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye uelewa juu ya kozi ya architecture

    Yaani mpk umechaguliwa ndo unataka kujua?? Afu mpk sasa huijui architectr vizur?..daah...bora hujaenda ardhi,,ungearisha mwaka ww!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Wa sasa tuu wachache wamemwona,,huyo wako nani atashugulika nae... Km umemaliz apo tafuta wenzako uwauliza,,siyo swali la msingi naona.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Nice,lakini jieleze vizuri ndugu huonekane kweli kam ni graduat,welcom.watakuuliza tuu.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Ww njoo chuo ndo utajua idadi kamili ya waliochaguliwa...na soko la ajira kwa real estate asa lmv bado mbichi japo inajaa.kwa harak saana...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Ww umechaguliwa Ardhi au wauliza tu?anyway hostel za chuo ni 120000/semister,vyumba vya kupang nje ni 60000 kuendlea ukoo,
  7. W

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Wale wa lmv na real estate kwa ujumla karibuni saana,,, nyumbn kwa dr lucian..
  8. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua lolote kuhusu Chuo cha ARDHI????

    Kwani muda umeisha??subiri tuko makini ardhi,andaa ela yako tuu.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mgombea CCM aanguka jukwaani akiruka kichurachura!

    Mm ndo kabisa nimeshindwa kuelewa kua nan kawaambia inaongeza umaarufu
  10. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mch. Christopher Mtikila afariki baada ya kupata ajali, Msolwa - Chalinze mkoani Pwani

    Ivi ajali hiyo haichunguziki???maana aliwai kusema kuna wanyarwand kibao wameingizwa na ka.....,ila Mungu awatie nguvu family yake..japo nae alisema maneno ambayo yaliwakwaz family ya lowasa.siasa si matusi
  11. W

    JamiiForums Tanzania DIT Undergraduate selection

    Vipi adi hawa waliojaza sec round?
  12. W

    JamiiForums Tanzania St. Joseph Collage Of Engineering

    Sorry friends,,ivi hii ni st joseph ya mbezi au?maana nasikia ziko nyingi ivii?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya uwezekano wa kuhama chuo

    Registration huchukua almost two weeks na vyuo vingin huwa wanautaratib wa kuongezewa watu muda karibu na UE ili ataambao hawakulip ada walip na kupta usajili ,,kwa kweli kuhama ni ngumu kiliko kawaida asa kwa mazingira ya bongo(rushwa),na pia shindani hivyo chuo km SUA kua na nafsi ni...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Putin has a big problem in Syria that no one is talking about

    Nchi za kiarabu zinaboa saana,wanaifany dunia si mahali salama tena pa kuishi,ugaidi tuuu.
  15. W

    JamiiForums Tanzania tcu

    Unatest sumu kwa kuilamba!hayuko serious na maisha.
Back
Top Bottom