Mzee wetu Wasira kwa Heshima na taadhima kutoka moyoni haya sio Demokrasia. Hebu achana na kungangania wako vijana wengi sana ndani ya chama na hata nje wanaweza kufanya hii kazi pumzika ukawa mshauri japo na ushauri wako ni wa generation ya 1940 haijengi hili Taifa na mteuaji hebu tafakari pia.
Kauli ya Ijumaa Kuu Matesonya Yesu Kristu.
Nanukuu.
" Kama nimesema Uongo toa ushahidi huo wa uongo. Na kama nimesema kweli kwanini wanihukumu".
Watawqla Tafakarini haya yanayojiri.
Tunatarajia ujumbe mahususi wa TEC na Kanisa Katoliki hii Pasaka ya ufufuko wa Yesu Kristu.
Nani amekudanganya Kuna kitu inaitwa Tume Huru ya uchaguzi!! Wanani waliomba hiyo kazi? Hao si wateuliwa wa mwenye mamlaka!! Sasa imekuwaje huru.
WaTanzania tuamke.! Ucha kupumbaza!!
Kwa msingi huo una maana ulitaka kuona mauaji yakiendelea! Basinwauwane wenyewe kwa wenyewe hivyo vyama 18 ndio gani hivyo ukiacha ACT Zanzibar sanasana.
Hapo walipogusia ukomo wa madaraka au ukomo wa wabunge wa kuteuliwa/viti maalumu ilikuwa hoja na azimio la wqpinzani CHADEMA walivyokosa hoja walishaidaka tayari.
Kweli CCM mmeshindwq mkubali tu.
Si bora mkaja na hoja ya Katiba mpya na Tume huru mkaachana na mauzauza!
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani. Ila na tukumbuke hizi sadaka mfano unaenda kutoa sadaka ya mfano elfu 20 au Michele kilo 50! Wakati jirani yako anaumwa au hana hata mlo wa siku ni shida lakini kumpea hata elfu 2 au Michele kilo 2 inakuwa vigumu.
Mgonjwa anahitaji kununua dawa na hana hela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.