Kuomba siyo solution ya kudumu, we ni mwanaume komaa, wanawake wenyewe huwa tunapitiaga hizo hali tunakomaa na kutoboa unatoboa
Kwanza una mtaji wa mke ambaye hana kazi - mtumie
Katika hela uliyonayo mpe elfu 20 atanunua unga wa kutosha na mafupa apike chapati au maandazi,viazi vya kukaanga au...
Habari zenu wana jamii forum
Mwenzenu natafuta mume, mtaani wapo wanaokuja lakini bado sijapata tunayeendana kitabia.
Nimeona nijaribu na huku
Sifa zake
1.Mume Mkristo aliyeokoka
2.Mchapakazi
3.Mrefu, age 30 na kuendelea
Mimi
Miaka 28
Elimu ya chuo
Mchapakazi
Mcha Mungu
Karibu pm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.