Leo ni game plan tu. Mechi za upinzani wa jadi huwa ngumu sana mf hapa kwetu hata mwaka ambao Simba wabaya wanapoteza kila game lkn wakikutana na Yanga wanashinda. Naamini katika tactics za Mou.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.