Naachaje kwa mfano, alikutana na mzee wa kuunganisha mabao, mpk akasema asante na akanitafuta siku ingine, nikala mara ya pili nikapunguza mawasiliano but anasumbua mno
Inaonekana huyu dogo janja alimuomba huyo demu mku* maana kuna sms moja aliandika kwamba kuna kitu ulikua unaniomba but sija kushitaki, huyu dogo kweli wamekuta pipa na mfuniko, it seems mwanamke hana pa kukimbilia thats why ana ng'ang'ana kurudi, yaani mpk mwanaume ana mwambia mwanamke Hadija...
Alikutana na mzee wa kuunganisha mabao, mpk akanitafuta mechi ya marudiano, nikaishia second mechi nikapunguza mazoea but still anasumbua na sitaki anizoee tena
vitu vingine vinatokeaga automatically and you can’t ignore it, so nikaamua tuu kumsadia, na nilimsadia vzr mpk akema asante na siku nyingine akajifanya yupo town kachelewa anaomba lift mida ya saa moja hv anajua mm sometimes huchelewa kutoka, so nikamsadia tena, baada ya hapo nikapunguza...
itoshe tu kusema ni kweli alikua hakazwi, alaf nilimshika kdogo tuu mwili nilivo gusa chini huko, doooh, yaani alikua na uterezi kama kilo moja hv. Ni mtamu mno.
kwenye ndoa/ mahusiano ya watu waliozaa asilimia kubwa watu wanapitia changamoto nyingi xna na unakuta ni za kimya kimya yaani mtu mbili tuu, alisikika mzee mmoja akisema sisi tupo ktk mahusiano miaka 40 sasa hii ni kwa sababu kati yetu mmoja anajifanya mpumbavu ili maisha yaendelee...
sina sehem ya kuweka hayo materials na naamini badda ya mwaka mmoja bei haitakua juu kiasi cha kupata deficit kubwa, hapo kwenye kufyatua matofari mbona kama changamoto, kwa hii dar kuna watu kwani bado wanafyatua wenyewe mtofari badala ya kunua yaliyo tayari, au ili upate tofari quality inabidi...
Itakua hana mizunguko huyu, nina mwanangu alinunua ya 2008 ile new shape kwa mwezi alikua anatumi mafuta laki tisa na upuuzi na anasema akikanyaga fuel pedal gar inaamsha balaa, akaona isiwe tabu, akaiuza fasta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.