Recent content by vunjo

  1. vunjo

    Msaada tafadhali: miaka 2 sasa nateseka na Harufu Mbaya ya Mdomo

    Nenda kariakoo kama nilivyokuelekeza mwarabu anauza dawa buku 3 unamaliza tatizo.
  2. vunjo

    Msaada tafadhali: miaka 2 sasa nateseka na Harufu Mbaya ya Mdomo

    Nenda kariakoo sokoni jengo la sandaland the only one shuka ngazi basement kuna mwarabu ana duka pale hutajuta ana dawa ya meno kutoka Indonesia inakata kabisa.
  3. vunjo

    Machimbo ya dhahabu bado nayadai

    Hello boss nimeagiza hii machine ya kutafuta madini tofauti ina scann range ya 5-100 na up to 50m depth.Kama itafaa nicheki tufanye biashara
  4. vunjo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kazi ya BRICS ni kupambana n dollar ya marekani isitumike kwenye nchi zao.Leo sisikii Russia taifa teule kudadeki KK Security anawatembezea kichapo
  5. vunjo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hivi umoja wa BRICS huwa kazi yake nini endapo member anapovamiwa na kuchezea kichapo au kazi yao ni kushikana mikono wapige picha mambo yaishe nilitegemea waingie kumsaidia Putin
  6. vunjo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Haya wale KK Security mliokuwa mnawasifia ndio hao kudadeki watawakaanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  7. vunjo

    Gari yangu inachemsha hata ikitembea KM 20

    Hiyo kama ina sensor ya auto kuwasha fen engine inapopata joto ikifa ndio huwa hivyo ukiwa speed engine inapoa mshale unashuka ila ujiwa folen au silencer mshale hupanda mpaka juu badilisha hiyo sensor.
  8. vunjo

    Maduka ya vifaa vya salooni kariakoo

    Nenda kwa kavishe makutano ya jangwani na mafia jengo linaitwa Mreny tower.
  9. vunjo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Rusheni tena kinzhal muone zinakaangwa angani mbona tok siku ile mliporusha 6 hamjarusha tena ninaibu tupu na wale scientists wa hypersonic waliokamatwa ninkwajili gani hahhaha aibu yenu aisee.
  10. vunjo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sasa mbona walipiga vyanzo vya umeme kipindi cha baridi kule kyiv walikuwa wanampiga Nato kule wewe ni chenga itakuwa umevamia hii vita hujui ilianzia wapi
  11. vunjo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Safi nilitamani waryshe kinzhal zingine tuone wao si wanasema wameharibu waendelee kurusha maana hizo AD kuletwa hapo kyiv walikuwa wanaoiga vyanzo vya umeme na maji ambapo sasa hivi hatusikii umeme kuzimika yani Patriot iko moja inawapeleka zikija 10 itakuaje US noma.
  12. vunjo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Walijua Patriot ni kama yale mapipa yao s300 yaliochakazwa sana.
  13. vunjo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kama mmeziharibu endeleeni kurusha makombora basi maana aim ya kuleta Patriot nikuzuia mashambulizi kwenye vyanzo vya umme na maji katika mji kyiv sasa kama mmeharibu endeleeni kurusha drone na hizo kinzal basi.
  14. vunjo

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Huwezi ku destroy patriot system ila unaweza uka damage part kwasababu yeneywe sio kifaa kimoja kama himars ni different part spread over an area
Back
Top Bottom