Vumilika's latest activity

  • Vumilika replied to the thread Nimeamua kuwa Atheist.
    Tatizo siwezi kutumia nadharia kwa kuthibitisha uwepo wa Mungu, hivyo hiyo elimu ya nadharia yenu inakukosesha nafasi ya kumjua Mungu...
  • Vumilika replied to the thread Nimeamua kuwa Atheist.
    Kumdhania mwenzako hajui, huo ni ujinga mkubwa tena ni kiburi.
  • Vumilika reacted to Lax's post in the thread Nimeamua kuwa Atheist with Thanks Thanks.
    kwa jibu hilo umeeleweka mkuu
  • Vumilika replied to the thread Nimeamua kuwa Atheist.
    Mungu analichomoza jua kutoka mashariki na analizamisha upande wa magharibi. Wewe unaweza? Au mchakato huo nani anaufanya?
  • Vumilika replied to the thread Nimeamua kuwa Atheist.
    Yeye hana hitaji lolote kutoka kwa viumbe, bali sisi viumbe ndiyo wenye kumuhitajia.
  • Vumilika replied to the thread Nimeamua kuwa Atheist.
    Inategemea wameshika vitabu gani? Jaribu kusoma vitabu vya dini tofauti siyo dini moja tu, ili upate kujua nini kusudio la dini hizo.
  • Vumilika replied to the thread Nimeamua kuwa Atheist.
    Lax swali lako ni dogo kwa maneno lakini lina maana pana na sahihi kwa watu wenye kutafuta ukweli na usahihi wa imani katika zama zetu...
  • Vumilika reacted to Fortyseven's post in the thread Nimeamua kuwa Atheist with Thanks Thanks.
    kama humuamini Mungu unakuwa mwema au unatenda wema ili iweje?? na ulijuaje huo ni wema?? na uovu ni upi ?? na kulingana na nn uuite...
  • Vumilika replied to the thread Nimeamua kuwa Atheist.
    Naweza kukubaliana nawe ikiwa tutaelewa kwa dhati mipaka ya Mungu na hizo sifa ambazo sisi tunampa, ya kuwa muweza wa yote, aliyeumba...
  • Vumilika replied to the thread Nimeamua kuwa Atheist.
    Huenda uongo ukawa ukweli usiyoujua, haijapatapo kutokea mtu kujua yote kwa wakati wote. Siwezi kuogopa kuamini kwa kuwa kuna watu...
Back
Top Bottom