Chis ...namaana ukijumlisha mashabiki wa wasanii wote bongo ukitoa wa magufuli watabaki wengi zaidi ya wafuasi wa lowasa
Edo ana wafuasi hana mashabiki
Ccm ina mashabiki haina wafuasi tena mashabiki wa wasaniii si mgombea ...
Kwa utafiti waliofanya twaweza ambao ni pilot study isiyo na uhalisia meamsha hisia za wengi kupinga kile kilicho tolewa kama matokeo ya tafiti za simu
Madhaifu yao yananonekana kuegemea tabaka moja na sii kusimama kama taasisi
Hawajasema wamehoji watu wenye umri gani na sababu zakufanya hivyo...
Wakati wa kampeni wagombea wamekua na ahadi nyingi sana zisizo tekelezeka.wanano nifurahisha ni hawa ambao wameshika serikali kwa sasa wakiwa na kauli hizi
1.Tutawalipa waalimu madai yao ya mishahara.-kwa sasa wapo madarakani si waanze kulipa
2.Elimu bure kwanini kesho wasitangaze kuanzia sasa...
Wakati ASP NA TANU wanaungana walitengeneza chama kinoja kilichokua na kiongoz mpenda haki baba wa taifa mwalimu jk nyerere
Lakini alikabidhi chama watu wasio weza kusema hapana kuhusu rushwa kwa dhati wanatamaa nyingi na rasilimali za nchi hii
Alio gawana ccm ni maraisi walio fuata kwenye...
Days are numbered ...hilo lipo wazi ni mithili ya bianadamu aliye zaliwa na mwanaamke ili hali akijua kifo kipo..
Tumetawaliwa na hofu,mashaka na woga wa tusiyo yajua kwa kile walicholishwa wananchi ..na chama tawala.
Wananchi wameaminishwa kua
tanzania ni ccm,
tanzania haiendeshwi bila...
Moroco inazungumza mm yangu kura tuu whether he will win the election and bring changes...or not bring development i will choose ukawa to show them tanzania is for every one not for ccm only.
Ndugu jamaa na marafiki inanichukua muda sana kumtafakari huyu jamaa Nape ..namwona ni mtu asiye ijua siasa kabisa na cheo alichonacho hakilingani na upana wake na undani wa siasa iliyopo..
Ningependa nifahamishwe tuu huyu jamaa anaelimu gani ..?
...na siasa aliianza lini?
na hivi kua mwenezi...
Katika harakati nzima za CCM kuelekea Oktoba 25 wanafanya kila jitihada kuhakikisha wanawaaminisha watu juu ya mambo kadhaa yakiwemo haya.
1.Wanaimani na pombe katika kuisaidia Tanzania, hii inaonyesha miongoni mwa timu ya mafisadi hamna mtu mwingine wangeweza kumwendesha ila John tuu, hebu...
Ha ha ha ha ha kweli misemo ya wahenga inaaplication nyakati hizi.....mfa maji haachi kutapatapa...naona mamia waliompokea kweli kama sio makumi....ha ha ha huo kwako umeona ni mwanzo mzuri na hata hujalinganisha na mapokezi yoyote ya chadema mkoani hapo...this is unrealistic mjomba.penye wengi...
Your arguments are clear but you have to ask on your own what is politics.what is he doing really politics.take time to use little knowledge you have to bring possitive impacts to those who surpport them.We are best in narreting stories than put into action the big facts we have to disqualify them.
Unaelimu gan wewe mbona kama mvimba mmacho unatafuta kiki humu ongea vya maana achana na kupambanisha udin kama wanajua pigana zanzibar walishindwa nn kufanya mapinduzi mpaka mganda anawasaidia wanaume wamevaa kanga wakajifungia ndani ..usitengeneze maneno unayoyafikiri wewe. Umefell bro no...
Haki haiombwi inatafutwa hata mwenyechama cha ccm alishasemaga.sasa tusikae kuomba haki kutoka kwa wanyonyaji hawatakupa watoa mashart mengi ila ukiitaka unapambana kuichukua haya red brigeds wanapambana kutaka haki wanayo gawana ccm itarudi tuu one time
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.