Recent content by vonsoden

  1. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Women are attracted not chased

    Nakubaliana na theory 100%, japo mapenzi ya kweli ni kinyume na hayo yote ya kum-attract mwanamke.
  2. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya kufuga ndevu na imani ya dini

    Ulianza vizuri kueleza ndugu yangu katika imani, halafu ukaharibu kidooogo kwenye neno 'magovi' aaargh
  3. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini: Mwanamke ana umuhimu

    Ni Kweli ana umuhimu mkubwa katika maisha,maana bila yeye tusingezaliwa
  4. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Mama Mkapa ana majeraha mengi

    Sasa mkuu unachangia mtoa mada anakuhusu nini?
  5. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Bongo kujishika sehemu za siri

    Siri gani wakati kila mwanaume anayo?? Halafu pia wanawake wanajua.
  6. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Tatizo la watu kushindwa kujielezea

    Hiyo ni kazi yetu sasa,yeye ametimiza wajibu wake wa kutuletea changamoto iliyopo kwahyo syo lazima yote atekelza yeye, upo bro?
  7. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu yupo, je wanyama wakifa huenda mbingu gani?

    Sasa kama hawaendi mbinguni sisi tutakaoenda peponi tutakula nini?? Mi nadhani wataenda mana pepo bila kuku itaboa.
  8. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini binadamu tu ndio wanatembea na miguu miwili?!

    sio binadamu wote wenye akili,mfano mzuri ni wewe, halafu pia kuna viumbe wengine wana miguu miwili mfano mzuri ni kuku.
  9. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Kuna mapenzi hapa? ushauri jamani nimechanganyikiwa

    Hapo ttz n ww kwnn slpp hgg coz ndo hivyo bhn.
  10. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi ajiua kwa risasi leo asubuhi Wilaya ya Mbozi

    Huyo ni mzalendo wa kweli hasubiri kuwajibishwa yeye anijiwajibisha mwenyewe naomba viongozi waige mfano huu yani mtu akijijua tu kapata mgao wa ESCROW ajiue.
  11. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Nani kawaloga wakina mama wa Dar?

    Tena wanawake wa hivyo wengi wao wamejibua,yani sura kama parachichi bovu puuh
  12. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Wananchi wenye hasira waua kibaka Yombo Vituka

    Mmmmh hatari sana.
  13. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Inawezekana vipi Kumsamehe Mtu aliyekutenda Zaidi ya Mara 2?

    The more you forgive,the more respect you loose..just imagine umemsamehe mtu mara mbili au tatu ni sababu ipi tena itakayomfanya asirudie kutenda kosa mara nyingine??
  14. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumekosa uzalendo

    Binadamu hazaliwi na uzalendo eti kama unavyozaliwa na nywele,No. Uzalendo unajengwa.
  15. vonsoden

    JamiiForums Tanzania Jiulize wewe mwanamme eti kwa nini kila siku unakimbiwa na wanawake

    'The nature of human love is between heart and heart' hayo mengine ni ya ziada tu,kama hakuna upendo ndani mioyo yenu matunzo,kujiamini n.k havina mashiko.
Back
Top Bottom