Recent content by von tosy

  1. V

    Pendekezo kumaliza mzozo wa Israel na Palestina: UN itafute kipande cha ardhi hapa duniani, iwahamishie Wapalestina

    Wapalestine watabaki pale pale, na ipo siku ambayo Israel watalipa kwa udhalimu wanaoufanya. Kama kuhama wao ndo wahame mana wao ndo wavamizi wa ardhi ile.
  2. V

    Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

    Kiukweli tu watanzania wanshindwa kutofautisha heshima na kipaji. Sugu kipaji cha muziki hakuna ila heshima anayo na yote ni kwasababu wakati wanaimba wao hakukuwa na ushindani, so ata ukiimba vibaya hakuna wakukushinda nisha nae.
  3. V

    Wamepigwa Tena na Vanilla International. Watanzania Tuna Matatizo ya Akili

    Jamaa ni matapeli mbwa, wamampiga jamaa angu wa karibu kabisa just easly
  4. V

    Sensa swali hili ni muhimu sana kuliko swali la kufa, lakini mmelikwepa

    Ndugu muwasilishaji. Naomba nitofautiane na wewe kidogo, lakini pia nitoe elimu kidogo. Sensa, sio utafiti unaoweza kutoa taharifa zote za kiuchumi na kijamii. Na kutokana na muda unaofanyika ni vigumu sana kutoa akisi ya maisha halisi ya mtanzania kwa kila nyanja. Zipo tafiti nyingi...
  5. V

    Diamond Platnumz ajibu shutuma ya kudaiwa Wasafi ni wanyonyaji

    Hizi sasa ndo bange. Hakuna uwekezaji wa namna hiyo. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  6. V

    Nimeanza Biashara ya Kukopesha, naomba ushauri

    Shule gani umesoma.? Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  7. V

    Kwenye maisha usiruhusu kila mtu akuzoee ni KOSA kubwa mno pia weka muda maalum wa watu kukupigia simu

    We nae sasa uache ufala. Ndo haya haha tunasema mazoea yakisenge, we mtu anakojoa ndani kwako unabaki kusema ndo binadamu. Ebu Wacha ujinga uko Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  8. V

    Sitosahau safari yangu ya Lindi iliyojaa maumivu na tabu nzito

    Imeishaaaaaaaaa hiyoooo:-):-):-):-):-):-):-) Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  9. V

    Tangazo: Ofisi ya Ardhi mkoa wa Iringa inagawa viwanja na mashamba eneo la Mji Mpya - Mgongo

    Aaanh Mzee mbona unaleta ukanjanja Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
  10. V

    Hivi jina Nyalusi huwa ni wenyeji wa mkoa gani?

    Ukoo ni Nyalusi, hiyo mwa ni kiwakilishi Cha mwanaume na Se ni kiwakilishi Cha mwanamke. Kwahiyo ukoo huu ni wenyeji wa Iringa
  11. V

    Dhumuni la HESLB kuanzisha Value retention fee -VRF 6% lilikuwa baya au utekelezaji wake uliitaji maboresho?

    Lengo la Value Retention Fee, halikuwa baya na maamuzi ya kuitoa yamefanyika kisiasa. Kwa sababu ebu fikiri mtu aliyesomeshwa na bodi miaka ya 1990's ambapo UDSM ada ilikua 20,00/=. Mtu huyo anakua kulipa deni hilo la ada mwaka 2020. Je ni sahihi, mtu huyu kuja kulipa deni la 20,000 baada ya...
  12. V

    GE2020 Kutokuwasiliana kwa viongozi wakuu wa ACT-Wazalendo na CHADEMA kumewapa mwanya CCM kufanya watakavyo

    Dah hili bandiko lako limebifanya niwaze na kuelewa mantiki yako. Tundu Lissu kama mgombea wa Urais Mara kadhaa kaonekana akisisitiza kwamba Tume ilipaswa kuwaongoza wateuliza katika ujazaji form lakini pia anasisitiza huruma ingetendeka. Lakini hapo hapo yeye aliongozo kuwawekea wagombea wa...
  13. V

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Tujitahidi kuzipitia kanuni za utumishi wa umma. Wanaozungumza habari ya kupanda madaraja na mishahar, soma uelewe nani mwenye mamlaka hayo kisheria.
  14. V

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Wewe unaejua maswala ya utumishi wa umma. Niambie sheria ipi inataka upandishwe daraja au mshahara
  15. V

    GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Watanzania tunaangamia kwa kukosa maharifa. Wapi imeandikwa ukiwa mfanyakazi wa private huruhusiwi kujua waraka na sheria za utumishi wa umma. Afu unaniuliza swali la kitoto eti nliziona wapi.? Serious niseme nliziona wapi.
Back
Top Bottom